Tonga

Tonga ni nchi ya visiwani ya Polynesia katika Pasifiki ya kusini yenye wakazi 102,321.

Tonga
Tonga

Eneo lake ni funguvisiwa lenye visiwa 169 kusini kwa Fiji na Samoa na kaskazini kwa New Zealand. Visiwa 52 tu vina wakazi (100,000 hivi).

Jiografia

Eneo lote la nchi kavu ya visiwa ni km² 750.

Kisiwa kikubwa ni Tongatapu chenye eneo la km² 260.

Mahali pa juu katika Tonga ni volkeno ya mlima wa Kao (ambacho ni kisiwa cha Kao chenyewe) wenye kimo cha mita 1,030.

Lugha na dini

Kuna lugha tatu tu ambazo huzungumzwa nchini Tonga: Kiingereza (lugha rasmi), Kitonga (lugha rasmi) na Kiniuafo’ou ambayo inazidi kufifia.

Upande wa dini, 96.9% wanajitambulisha kama Wakristo, hasa Wamethodisti (53.7%) na Wakatoliki (14.2%), mbali ya Wamormoni (18.6%).

Tazama pia


Tonga  Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.

Tags:

KusiniNchi ya visiwaniPasifikiPolynesia

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MadiniVirusi vya CoronaHisiaTafsiriTasifidaTamathali za semiBinamuCristiano RonaldoFigoLahaja za KiswahiliBidiiNgiriFasihiHistoria ya TanzaniaFamiliaDubaiMbwana SamattaVita Kuu ya Pili ya DuniaKitenzi kikuu kisaidiziKitenzi kikuuNomino za jumlaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaJava (lugha ya programu)Mkanda wa jeshiLugha rasmiKupatwa kwa JuaUfugajiJay MelodyMkoa wa ArushaNamba tasaStafeliHekimaChupaNadhariaAgano la KaleMichael JacksonUNICEFViwakilishi vya pekeeLionel MessiMilango ya fahamuUchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2015Bahari ya HindiUchawiMillard AyoMafua ya kawaidaKatereroSanduku la postaMamba (mnyama)Edward SokoineFasihi andishiGeorge WashingtonMkoa wa TaboraBahashaBiashara ya watumwaMpwaKizunguzunguMafurikoMaradhi ya zinaaChelsea F.C.Hadithi za Mtume MuhammadHakiMalariaTendo la ndoaMwongoOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuMtakatifu PauloMusaKiswahiliKadi za mialikoSaratani ya mlango wa kizaziAbedi Amani KarumeMadawa ya kulevyaIsimilaKukuSiasa🡆 More