Nyuzilandi

Nyuzilandi (kwa Kiingereza: New Zealand; kwa Kimaori: Aotearoa) ni nchi ya visiwani katika Pasifiki takriban km 1,500 upande wa mashariki-kusini wa Australia.

Nyuzilandi

Eneo lake linaundwa na visiwa viwili vikubwa: Kisiwa cha Kaskazini (North Island au Te Ika-a-Māui) na Kisiwa cha Kusini (South Island au Te Waipounamu) na vingine 600 vidogo.

Jiografia

Miji

Miji mingine ni:

Watu

Idadi ya wakazi ni 4,690,000. Wengi wao (74%) bado wana asili ya Ulaya, ingawa asilimia yao inazidi kupungua. Wakazi asilia ni Wamaori waliotokea Polinesia na kuhamia visiwa hivyo kati ya miaka 1250-1300 BK; kwa sasa ni 14.9% ya wakazi wote. Wengine wana asili ya Asia (11.8%) na ya visiwa vya Pasifiki (7.4%).

Lugha rasmi ni Kiingereza, Kimaori na Lugha ya Ishara ya Nyuzilandi (kwa Kiingereza: New Zealand Sign Language au NZSL).

Upande wa dini, 49% ni Wakristo wa madhehebu mbalimbali, kuanzia Kanisa Katoliki (12.6%), Anglikana (11.8%) na Wapresbiteri (8.5%). Idadi ya wasio na dini inazidi kupanda na imeshafikia 38.55%, mbali ya 12.27% wasiojibu swali kuhusu hilo. Kuna Mabanyani (2.1%), Wabuddha (1.5%), Waislamu (1.2%), Singasinga (0.5%)

Tazama pia

Viungo vya nje


Nyuzilandi  Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.

Tags:

Nyuzilandi JiografiaNyuzilandi MijiNyuzilandi WatuNyuzilandi Tazama piaNyuzilandi Viungo vya njeNyuzilandiAustraliaKiingerezaKimaoriKmKusiniMasharikiNchi ya visiwaniPasifiki

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

FonetikiFonolojiaSabatoShomari KapombeLongitudoFacebookMalariaMkondo wa umemeBaraUkwapi na utaoWikiMahindiOrodha ya Marais wa UgandaMeta PlatformsStadi za lughaRitifaaMichezo ya jukwaaniSeli nyeupe za damuMuungano wa Tanganyika na ZanzibarManchester CityPentekosteFasihiMuhammadKisimaDNAMorokoMkoa wa ShinyangaMoyoOrodha ya Magavana wa TanganyikaOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaMkoa wa TaboraWaluguruUkristoWiki FoundationUbuntuUmoja wa AfrikaBaruaLugha fasahaMkoa wa MbeyaTabainiSteven KanumbaMkoa wa MwanzaMtandao wa kompyutaOrodha ya milima mirefu dunianiWilaya za TanzaniaUenezi wa KiswahiliTajikistanLahaja za KiswahiliKontuaEthiopiaManchester United F.C.Nabii EliyaKunguniRiwayaJuma kuuMpwaKombe la Dunia la FIFABukayo SakaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMapenziMkoa wa SongweSiasaLugha ya isharaMwezi mwandamoNomino za wingiKitandaHistoria ya uandishi wa QuraniOrodha ya Marais wa ZanzibarHadhiraSakramentiZodiakiFigoUtumwaMagonjwa ya machoUhindiIni🡆 More