Rasi ya Baja California (tamka ba-kha ka-li-for-ni-a, au Kalifornia ya chini) ni rasi ya Amerika Kaskazini.
Iko kaskazini-magharibi mwa Mexico.
Urefu wake ni kilomita 1,250 kutoka kaskazini hadi Cabo San Lucas upande wa kusini. Rasi hii inatenganisha Bahari ya Pasifiki kutoka Ghuba ya Kalifornia.
Majimbo ya Mexiko ya Baja California Sur na Baja California yanapatikana kwenye rasi hiyo.
Eneo lake ni km2 143,396.
Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Rasi ya Baja Kalifornia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Rasi ya Baja Kalifornia, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.