Kihispania

Kihispania (español; Kiingereza: Spanish) ni lugha ya kimataifa ambayo ni lugha ya kwanza kwa watu milioni 493; kwa jumla pamoja na wasemaji wa Kihispania kama lugha ya pili kuna milioni 568 duniani wanaosema vizuri Kihispania.

Kihispania
Kihispania duniani leo.

Historia ya lugha

Asili ya lugha hiyo ni katika nchi ya Uhispania (Ulaya kusini magharibi), lakini kutokana na historia ya ukoloni na ya biashara lugha hiyo imesambaa sana, hasa Amerika ya Kusini na ya Kati.

Lugha iliyozaa Kihispania ni Kilatini cha Waroma wa Kale waliotawala kwa muda mrefu Uhispania. Ndiyo sababu maneno yake yanatokana na Kilatini kwa asilimia 80, lakini pia na Kiarabu kwa asilimia 8.

Kati ya lugha za Kirumi Kihispania ni lugha ya kisasa ambayo ni karibu zaidi na lugha ya kale, isipokuwa Kisardinia na Kiitalia.

Nchi zinazotumia Kihispania kama lugha rasmi

Amerika ya Kati na Karibi

Amerika ya Kusini

Afrika

Nchi zenye wasemaji wengi wa Kihispania

  • Nchini Marekani Kihispania ni lugha ya pili baada ya Kiingereza hasa katika majimbo ya Kusini zilizokuwa zamani sehemu za Mexiko.
  • Ufilipino kwa sababu ilikuwa koloni la Uhispania

Viungo vya nje

Tags:

Kihispania Historia ya lughaKihispania Nchi zinazotumia kama lugha rasmiKihispania Nchi zenye wasemaji wengi wa Kihispania Viungo vya njeKihispaniaDunianiKiingerezaLugha ya kwanzaLugha ya piliMilioni

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

ZabibuTetekuwangaKanisa KatolikiMapinduzi ya ZanzibarFalme za KiarabuRejistaKizunguzunguMaambukizi ya njia za mkojoMofimuMaana ya maishaMisriAla ya muzikiTrilioniKamusi ya Kiswahili sanifuMajeshi ya Ulinzi ya KenyaMishipa ya damuShikamooBendera ya KenyaDubai (mji)UislamuChanika (Ilala)SeliVidonda vya tumboMofuOrodha ya Marais wa MarekaniMaajabu ya duniaKibodiSaratani ya mlango wa kizaziUjimaShairiWikiUchumiViwakilishi vya pekeeKatibaWakingaMaigizoLafudhiMitume na Manabii katika UislamuWanyaturuNathariUtataUchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2020Hekalu la YerusalemuUajemiBendera ya ZanzibarNamba za simu TanzaniaNembo ya TanzaniaUlumbiMweziMajina ya Yesu katika Agano JipyaLigi ya Mabingwa UlayaBurundiAina za manenoEthiopiaSimba S.C.WajitaMkanda wa jeshiUenezi wa KiswahiliDoto Mashaka BitekoMsitu wa AmazonOrodha ya Magavana wa TanganyikaBiashara ya watumwaWaarushaOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaMtiAmri KumiZuchuKumaMpira wa miguuOrodha ya visiwa vya TanzaniaMofolojiaBawasiriBidiiMkoa wa Katavi🡆 More