Ekuador: Ni nchi kwenye pwani ya magharibi ya Amerika Kusini

Ekuador (kwa Kiswahili pia: Ekwado) ni nchi kwenye pwani ya magharibi ya Amerika Kusini.

Ekuador
Ekuador: Ni nchi kwenye pwani ya magharibi ya Amerika Kusini
Ramani ya Ekuador

Jina la nchi kwa Kihispania (Ecuador) lamaanisha "ikweta", na sababu ni kwamba imekatwa nayo.

Imepakana na Kolombia, Peru na Bahari ya Pasifiki.

Funguvisiwa la Galapagos (Archipiélago de Colón) ni sehemu ya Ekuador ikiwa na umbali wa karibu kilomita 1,000 kutoka bara.

Mji mkuu ni Quito, lakini mji mkubwa zaidi ni Guayaquil.

Watu

Wananchi wengi (71%) wana mchanganyiko wa damu ya Kizungu na ya Kiindio. Wenye asili ya Afrika ni 7.2%, Waindio ni 7%, na Wazungu ni 6.1%.

Ekuador ilikuwa koloni la Hispania, hivyo lugha ya wakazi wengi na lugha rasmi imekuwa Kihispania hadi leo. Lakini kuna Waindio wengi, hasa katika milima ya Andes, wanaoendelea kutumia lugha zao.

Asilimia 91.95 wana dini, na kati yao 80.44% ni Wakatoliki ma 11.3% Waprotestanti.

Tazama pia

Viungo vya nje

Ekuador: Ni nchi kwenye pwani ya magharibi ya Amerika Kusini 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:
Nchi na maeneo ya Amerika Kusini

Argentina | Bolivia | Brazil | Chile | Ekuador | Guyana | Guyani ya Kifaransa | Kolombia | Paraguay | Peru | Surinam | Uruguay | Venezuela

Ekuador: Ni nchi kwenye pwani ya magharibi ya Amerika Kusini  Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ekuador kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Amerika KusiniKiswahiliMagharibi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

KiongoziJakaya KikweteOrodha ya Magavana wa TanganyikaTanzaniaMvuaUaKanga (ndege)Shirley CloeteUaminifuMchungaji mwemaDamuKitomeoUwanja wa WembleyUajemiHistoria ya WokovuTeziTungo sentensiHekaya za AbunuwasiVirusi vya CoronaVielezi vya mahaliWamanyemaNdiziSomo la UchumiUtandawaziVieleziOrodha ya Marais wa TanzaniaShinikizo la ndani ya fuvuIdhaa ya Kiswahili ya Radio TehranSaratani ya mlango wa kizaziAfrika ya Mashariki ya KijerumaniTreniKhadija KopaAnne Kilango MalecelaLilithNuruVitendawiliAslay Isihaka NassoroKichochoUbuntuFasihiMsukuleUkimwiHussein KaziMjasiriamaliKibodiVihisishiMaambukizi nyemeleziTanganyika African National UnionNdoaSeduce MeBawasiriMsumbijiJohn Samwel MalecelaUleviKwame NkrumahAli Hassan MwinyiKiambishi awaliHistoria ya AfrikaBendera ya KenyaNenoZuchuMizimuKifupiDaudi (Biblia)HektariMapinduzi ya ZanzibarKuhaniShairiMeta PlatformsMbogaVipera vya semiKanaliMafarisayoUrusiKombe la Dunia la FIFAHifadhi ya mazingira🡆 More