Kizunguzungu

Kizunguzungu ni hali ya kupoteza utambuzi na uimara inaweza kutumika kwa maana ya kuhisi kuzunguka, udhaifu wa misuli, inachukuliwa kama kutokuwa na uimara au kwa hisia zisizo maalum kama vile kizunguzungu au upumbavu.

Kizunguzungu
ICD-10R42.
ICD-9780.4
DiseasesDB17771
eMedicineneuro/693
MeSHD004244

Mtu anaweza kupata kizunguzungu kwa kushiriki shughuli kama za kuzunguka.

  • Kisulisuli ni neno maalumu la kimatibabu linalotumika kuelezea hisia ya kuzunguka au kuhisi vitu vya mazingira vinakuzunguka Watu wengi wamekuta kisulisuli kusumbua sana na mara nyingi inatarifiwa kuhusiana na kichefuchefu na kutapika Hii inawakilisha asilimia 25 za kesi za matukio ya kizunguzungu.
  • Ukosefu wa msawazo ni hisia za kutokuwa kwenye usawa,na mara nyingi kuanguka kwa kufuata mwelekeo maalumu ni sifa yake kuu Hali hii mara nyingi haihusishwi na kichefuchefu au kutapika.
  • hali yakupoteza fahamu ni ubongo hewa, udhaifu wa misuli na hisia za kukata tamaa kinyume na kuzirai, ambayo ni kweli watazimia.
  • kizunguzungu kisicho lasimi mara nyingi ni chanzo cha magonjwa ya akili. Ni utambuzi wa kuzingatiwa kwa upekee na wakati mwingine kinaweza kusababiswa na kupumua kwa kasi. [11]

{0kiharusi{/0} ni chanzo cha kizunguzungu pekee katika 0.7% ya watu waliokuwamo kwenye chumba cha dharura.

Hali zinazoendana na uuguzi (tiba)

Hii ni orodha ndogo kwa sababu kizunguzungu ni dalili ya kawaida Ya magonjwa mengi. Hata hivyo, vipengele vya kawaida vinaweza kuhahinishw kama ifuatavyo: 40% vestiburi ya pembeni inayofanya kazi vibaya, 10%jeraha kwenye mfumo mkuu wa fahamu, 15% ugonjwa wa akili, 25% kuzirai / kukosa msawazo, na 10%kizunguzungu kisicho lasimi. Hali ya matibabu ambayo mara nyingi ina'kizunguzungu' kama dalili ni pamoja na:

  • ujauzito
  • shinikizo ya damu kuwa chini (msukumo kuwa chini))
  • upungufu wa hewa safi (haipoksemia)
  • upungufu wa madini chuma mwilini(safura)
  • sukari kushuka(hypoglesia)
  • matatizo kwenye homoni (kwa mfano, ugonjwa wa tezi, hedhi, mimba)
  • tatizo la kuwa na hofu au wasiwasi
  • kupumua kwa kasi
  • wasiwasi
  • kunyongonyea au kufadhaika
  • kupoteza uwezo wa kuona , usawa, na uwezo wa kupokea matambuzi harisi
  • kupatwa tatizo la misuli
  • ugonjwa wa minere
  • vestibuli ya mishipa ya fahamu
  • uvimbe katika sikio la ndani
  • uvimbe katika sikio la
  • kupoteza hisia za kusikia
  • kuwa na mwendelezo wa magonjwa sugu
  • gonjwa linalosababishwa na mdudu anayeitwa Tolosa
  • kipanda uso
  • kushikwa na misuli

Taratibu

hali nyingi husababisha kizunguzungu kwa sababu sehemu mbalimbali za mwili zinahitajika kutunza usawa ikiwa ni pamoja na kudumisha usawa ndani ya sikio, macho, misuli, mifupa, na mfumo wa fahamu.

sababu za kawaida zinazoweza kusababisha kizunguzungu ni pamoja na:

  • damu kidogo kupelekwa kwenye ubongo kutokana na:
    • kuanguka ghafla kwa shinikizo la damu
    • matatizo ya moyo au kupasuka kwa ateri
  • kupoteza uwezo wa kuona vizuri
  • matatizo ndani ya sikio
  • katika uponyaji wa ubongo na mishipa ya fahamu kwa kutumia madawa

Epidemolojia

Kiasi cha 20-30% ya watu imeripoti kuwa wamepatwa na kizunguzungu mwakka jana

Marejeo

Viungo vya nje

Tags:

Kizunguzungu Hali zinazoendana na uuguzi (tiba)Kizunguzungu TaratibuKizunguzungu EpidemolojiaKizunguzungu MarejeoKizunguzungu Viungo vya njeKizunguzungu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

DubaiKito (madini)Mungu ibariki AfrikaKukuTungo kishaziIndonesiaDodoma MakuluElimu ya bahariHedhiWimboKassim MajaliwaWazaramoUfalme wa MuunganoTarbiaTaswira katika fasihiJohn Samwel MalecelaChuo Kikuu cha DodomaMjasiriamaliMatendeRitifaaHussein Ali MwinyiJohn MagufuliBenki ya DuniaApril JacksonOmmy DimpozOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaVielezi vya idadiUyahudiJava (lugha ya programu)RohoDuniaKhadija KopaFBHalmashauriUgonjwa wa uti wa mgongoBata MzingaFacebookMaambukizi ya njia za mkojoAlgorithimu uchanguajiEverest (mlima)NeemaMshororoKataMorogoro VijijiniVirusi vya CoronaUkoloniUfilipinoOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaOrodha ya viongoziMunguDivaiSoga (hadithi)Ugonjwa wa kuambukizaMvua ya maweUchumiViwanja vya Afrika (Kwa Ukubwa)MabiboUbungoKamusiMaghaniUhifadhi wa fasihi simuliziWabena (Tanzania)Injili ya LukaHisaKiumbehaiNgano (hadithi)Matumizi ya lugha ya KiswahiliWachaggaDar es SalaamAina za ufahamuKiambishiMkoa wa Dar es SalaamPambo🡆 More