Kani

Kani (kwa Kiingereza force) ni athira ya nje inayoweza kubadilisha hali ya utulivu au mwendo kwenye gimba.

Hupimwa kwa nyutoni.

Kani
Kani huelezwa pia kama nguvu ya kuvuta au kusukuma gimba lolote; mifano ya chanzo cha kani ni graviti au usumaku

Kani huwa na tabia za kiwango (ukubwa) na mwelekeo. Alama yake ni F.

Dhana ya kani iliundwa na Isaac Newton. Alisema katika kanuni yake ya pili kuwa :. Hapo ni kani,
ni masi ya gimba,
na ni mchapuko wa gimba.

Fomula inasema ya kwamba kama kani iko juu ya gimba litakuwa na mwendo na mwendo huo utaongezeka zaidi na zaidi.

Kama kani ni dhaifu na masi ya gimba ni kubwa itachukua muda mwingi hadi gimba litapata mchapuko mkubwa. Lakini kama kani ni kubwa na masi ya gimba ndogo litakimbia haraka karibuni sana.

Marejeo

Viungo vya Nje

Kani  Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kani kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

GimbaKiingerezaNyutoni

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

KiarabuSaida KaroliInsha ya wasifuNominoMuundoMtandao wa kompyutaTulia AcksonFasihi andishiVita ya Maji MajiMartha MwaipajaHadithiMkoa wa ManyaraMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaJinsiaMnyamaDiamond PlatnumzNyegeKukiBahari ya HindiUtumbo mpanaMusaMeno ya plastikiMkoa wa MwanzaMbaraka MwinsheheUkooHistoria ya KanisaVielezi vya namnaMwana FAWilayaRisalaSikukuu za KenyaOrodha ya Magavana wa TanganyikaOrodha ya miji ya TanzaniaAthari za muda mrefu za pombeViwakilishiKalenda ya KiislamuFani (fasihi)Madawa ya kulevyaBiblia ya KikristoFasihi simuliziNgamiaJakaya KikweteUjimaMfumo wa Msimbo wa Posta TanzaniaVihisishiRohoBikira MariaSiriUchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2020ManispaaVasco da GamaMsitu wa AmazonMfumo wa JuaNamba tasaWhatsAppHekaya za AbunuwasiKitenzi kikuu kisaidiziHarmonizeLiverpool F.C.Kiambishi tamatiHistoria ya Kanisa KatolikiMahakamaMnara wa BabeliNomino za jumlaKoroshoMizimuKhadija KopaMivighaBabeliTanganyikaWingu (mtandao)Mkoa wa NjombeTabataNimonia🡆 More