Mchapuko

Mchapuko (pia mchapuo, kwa Kiingereza acceleration) ni istilahi ya fizikia inayotaja badiliko la kasi au zaidi kasimwelekeo ya kitu kwa kipindi fulani.

Mchapuko unafafanuliwa kuwa badiliko la kasimwelekeo (velositi) linalogawiwa kwa badiliko la wakati.

Mchapuko unatokea kama gimba linaongeza kasi, linapunguza kasi au linabadilisha mwelekeo wake. Mfano gari linalopiga mbio, linalopigwa breki au kupiga kona linaona mchapuko.

  • Kama gari lililosimama linaanza kutembea mbele linaingia katika mchapuko kimstari (ing. linear acceleration) na abiria ndani yake wanaisikia kama kani inayowasukuma nyuma dhidi ya viti vyao.
  • Wakati gari linapita kona ya barabara linaingia katika mchapuo usio kimstari (non-linear acceleration) na abiria wanaweza kusikia kani inayowasukuma kwa upande wa nje.
  • Kama dereva anapiga breki gari linaingia katika mchapuo hasi (deceleration) yaani mchapuko kinyume cha mwendo wake hadi sasa na hapo abiria husikia kani inayowasukuma mbele.

Kipimo cha SI cha mchapuko ni m/s2 yaani mraba wa mita kwa sekunde.

Mchapuko Makala hii kuhusu mambo ya fizikia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mchapuko kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

FizikiaIstilahiKasiKasimwelekeoKiingerezaKituWakati

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Alama ya uakifishajiKiimboSkeliMkoa wa PwaniVivumishi vya urejeshiMaambukizi nyemeleziOrodha ya milima ya AfrikaMwana FAMbeya (mji)Mkopo (fedha)Biblia ya KikristoWilaya ya NyamaganaSabatoNahauUchaguziJamhuri ya Watu wa ChinaAina za manenoLady Jay DeePombeKukiOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaMkoa wa RukwaTabianchiWema SepetuKutoa taka za mwiliSilabiChristina ShushoUbadilishaji msimboMoyoMsitu wa AmazonMsamahaUkooTulia AcksonKilimanjaro (volkeno)Ligi Kuu Uingereza (EPL)Kondomu ya kikeAunt EzekielElimuMilaTovutiMbezi (Ubungo)BabeliUgonjwa wa uti wa mgongoMalariaCleopa David MsuyaVirusi vya UKIMWIWilaya ya Nzega VijijiniUislamuKiolwa cha anganiUundaji wa manenoInstagramChumba cha Mtoano (2010)WapareKunguruAthari za muda mrefu za pombeViwakilishi vya urejeshiOrodha ya makabila ya KenyaMapenziPasifikiAfrika ya Mashariki ya KijerumaniNathariSiriKifua kikuuJichoSimuMkoa wa KilimanjaroRita wa CasciaVasco da GamaTabataMvua ya maweHoma ya matumboOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuFani (fasihi)Mnyoo-matumbo MkubwaMkoa wa TaboraKirai🡆 More