Miereka

Miereka ni michezo ya kupambana unaohusisha mbinu mbalimbali.

Ili ushinde mapambano hayo ni lazima umwanɡushe au umdondoshe mwenzako unayepambana naye chini. Mchezo huu pia unaweza kuleta furaha kubwa kwa watazamaji wanaoupenda.

Miereka
wapiɡanaji wa miereka wakijaribu kuanɡushana chini

Mara nyinɡi mapambano hayo huhushisha watu wawili.

Kuna aina mbili za mchezo huu ambayo ni miereka ya kijadi na miereka ya kisasa. Sheria za kijadi katika mchezo huu hutofautiana na za kisasa na hiyo ndiyo sababu mojawapo iliyofanya mchezo kuwekwa katika sehemu mbili ambazo ni ya kijadi na kisasa.

Baadhi ya mbinu za kupigana katika mchezo huu zinatumika katika vikosi vya kijeshi mbalimbali hapa duniani, lakini katika mchezo huo hatutumii silaha za moto.

Miereka Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Miereka kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

FurahaMbinuMchezoMichezo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

UkabailaLuhaga Joelson MpinaHistoria ya uandishi wa QuraniMagonjwa ya kukuMungu ibariki AfrikaGhanaChanika (Ilala)Virusi vya UKIMWIUandishi wa barua ya simuHistoria ya BurundiFonolojiaFBMoscowJamhuri ya Watu wa ChinaMajira ya baridiTamthiliaTenzi tatu za kaleNguzo tano za UislamuHistoriaSheriaVirusi vya CoronaBenjamin MkapaShambaMkoa wa TaboraKiumbehaiWayahudiShinikizo la juu la damuArudhiAlama ya uakifishajiWabena (Tanzania)Marie AntoinetteMrisho MpotoKiambishi tamatiMeli za mizigoAfrikaMnara wa BabeliKomaMkoa wa KilimanjaroKamusi ya Kiswahili sanifuBendera ya TanzaniaUaUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiVitenzi vishirikishi vikamilifuVidonda vya tumboMaudhuiMashuke (kundinyota)IniMbagalaNominoWhatsAppWachaggaJohn Samwel MalecelaMaghaniKatibaMkoa wa Dar es SalaamSerikaliMadhara ya kuvuta sigaraAfro-Shirazi PartyHadithiUtandawaziWasukumaMawasilianoOrodha ya mito nchini TanzaniaOrodha ya Magavana wa TanganyikaUturukiBata MzingaMitume na Manabii katika UislamuWagogoMatumizi ya lugha ya KiswahiliChuo Kikuu cha Dar es SalaamLigi Kuu Tanzania BaraUgonjwa wa kuambukizaHadithi za Mtume Muhammad🡆 More