Yasemin Adar (alizaliwa 6 Desemba 1991) ni mwanamiereka wa Uturuki anayeshindana katika miereka ya uzito wa kilo 76. Yeye ni bingwa wa Dunia na bingwa mara nne wa Uropa. Pia alishinda moja ya medali za shaba katika mashindano ya miereka ya wanawake wenye kilogramu 76 kwenye Olimpiki ya Majira ya 2020 huko Tokyo, Japan.
Yasemin Adar | |
---|---|
Alizaliwa | 6 Desemba 1991 |
Kazi yake | mwanamiereka wa Uturuki anayeshindana katika miereka ya uzito wa kilo 76. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Yasemin Adar, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.