Mdudu-Ute

Oda 2, familia 5; spishi 29 katika Afrika:

Mdudu-ute
Mdudu-ute kutoka Ekwado
Mdudu-ute kutoka Ekwado
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila ya juu: Ecdysozoa (Wanyama wanaoambua kiunzi cha nje]]
Faila: Onychophora (Wanyama wenye matezi ya ute)
Grube, 1853
Ngeli: Udeonychophora
Poinar, 2000
Ngazi za chini

  • Euonychophora Hutchinson, 1930
    • Peripatidae Evans, 1901
    • Peripatopsidae Bouvier, 1907
      • Opisthopatus Purcell, 1899
        • O. amatolensis Choonoo, 1947
        • O. amaxhosa Daniels et al., 2016
        • O. cinctipes Purcell, 1899
        • O. drakensbergi Daniels et al., 2016
        • O. herbertorum Ruhberg & Hamer, 2005
        • O. highveldi Daniels et al., 2016
        • O. kwazululandi Daniels et al., 2016
        • O.laevis Lawrence, 1947
        • O. natalensis Bouvier, 1900
        • O. roseus Lawrence, 1947
        • O. swatii Daniels et al., 2016
      • Peripatopsis Pocock, 1894
        • P. alba Lawrence, 1931
        • P. balfouri (Sedgwick, 1885)
        • P. birgeri Ruhberg & Daniels, 2013
        • P. bolandi Daniels et al., 2013
        • P. capensis (Grube, 1866)
        • P. cederbergiensis Daniels et al., 2013
        • P. clavigera Purcell, 1899
        • P. hamerae Ruhberg & Daniels, 2013
        • P. intermedia Hutchinson, 1928
        • P. janni Ruhberg & Daniels, 2013
        • P. lawrencei McDonald et al., 2012
        • P. leonina Purcell, 1899
        • P. moseleyi (Wood-Mason, 1879)
        • P. overbergiensis McDonald et al., 2012
        • P. purpureus Daniels et al., 2013
        • P. sedgwicki Purcell, 1899
        • P. stelliporata Sherbon & Walker, 2004
        • P. storchi Ruhberg & Daniels, 2013
  • †Ontonychophora Poinar, 2000
    • †Helenodoridae Poinar, 2005
    • †Succinipatopsidae Poinar, 2000
    • †Tertiapatidae Poinar, 2000
Msambazo wa Onychophora; kijani - Peripatidae, nyekundu - Peripatopsidae
Msambazo wa Onychophora; kijani - Peripatidae, nyekundu - Peripatopsidae

Wadudu-ute (faila Onychophora, Kiing. velvet worms) ni viumbehai vinavyofanana na nyungunyungu wafupi na wanene. Wana mnasaba na vidudu-dubu na arithropodi. Jina lao linarejea uwezo wao wa kurushia ute katika vitundu viwili vya matezi nyuma ya mdomo ili kujitetea au kukamata mawindo.

Mwili wa wadudu-ute umerefuka na una pingili nyingi. Kila pingili inabeba jozi ya miguu isipokuwa pingili tatu za kichwa. Tofauti na arithropodi miguu hiyo haina viungo lakini ni kama vifuko vilivyojaa na hemolimfi (“damu”). Inaweza kusogea kwa msaada wa musuli chini ya ngozi. Kichwa kinabeba vipapasio viwili kwenye pingili la kwanza, lakini hivi havina homolojia na vile vya arithropodi. Pingili ya pili lina kipenyo kinachofanya kazi ya mdomo lakini, tena, hiki hakina homolojia na mdomo wa arithropodi. Kuna mataya (mandibili) mawili yenye ncha kali katika mdomo. Vitundu vya matezi ya ute vipo kwenye pingili la tatu.

Ngozi ya wadudu-ute ina tabaka la nje la khitini na tabaka la ndani la seli. Chini ya ngozi kuna matabaka matatu ya musuli. Nje ya ngozi inabeba nywele fupi zinazokupa hisi ya mahameli (asili ya jina la Kiingereza velvet worm).

Spishi za Afrika

  • Opisthopatus amatolensis
  • Opisthopatus amaxhosa
  • Opisthopatus cinctipes
  • Opisthopatus drakensbergi
  • Opisthopatus herbertorum`
  • Opisthopatus highveldi
  • Opisthopatus kwazululandi
  • Opisthopatus laevis
  • Opisthopatus natalensis
  • Opisthopatus roseus
  • Opisthopatus swatii
  • Peripatopsis alba
  • Peripatopsis balfouri
  • Peripatopsis birgeri
  • Peripatopsis bolandi
  • Peripatopsis capensis
  • Peripatopsis cederbergiensis
  • Peripatopsis clavigera
  • Peripatopsis hamerae
  • Peripatopsis intermedia
  • Peripatopsis janni
  • Peripatopsis lawrencei
  • Peripatopsis leonina
  • Peripatopsis moseleyi
  • Peripatopsis overbergiensis
  • Peripatopsis purpureus
  • Peripatopsis sedgwicki
  • Peripatopsis stelliporata
  • Peripatopsis storchi
Mdudu-Ute  Makala hiyo kuhusu "Mdudu-ute" inatumia jina ambalo halijakuwepo kwa lugha ya Kiswahili. Jina hili linapendekezwa kwa jina la mnyama huyu au wanyama hawa amba(ye)(o) ha(wa)na jina kwa sasa.

Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala.
Kamusi za Kiswahili hazina jina kwa mnyama huyu au wanyama hawa.

Mdudu-Ute  Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mdudu-ute kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mkanda wa jeshiIjumaa KuuKitovuMoyoKenyaUmaChelsea F.C.HarmonizeKiungo (michezo)SemantikiManiiMbossoChama cha MapinduziMlongeKukuWaluguruMichelle ObamaTenziMnyamaJohn Raphael BoccoOrodha ya Watakatifu wa AfrikaAsiaViunganishiViwakilishi vya urejeshiMsitu wa AmazonIsaUchawiKamusiKupatwa kwa JuaWahaOrodha ya milima mirefu dunianiSakramentiLughaHafidh AmeirHadhiraKondoo (kundinyota)Kanisa KatolikiRohoWahayaUfugaji wa kukuTamathali za semiHoma ya matumboFasihi simuliziFamiliaTetekuwangaBendera ya KenyaSintaksiJackie ChanFalsafaHaikuAunt EzekielPunyetoOrodha ya wanamuziki wa AfrikaWamandinkaUtamaduni wa KitanzaniaSinagogiSkeliBiasharaWabena (Tanzania)VitendawiliIsimuVidonge vya majiraTaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya TanzaniaChuo Kikuu cha Dar es SalaamVielezi vya idadiNgw'anamalundiChadLahaja za KiswahiliXXNdoa katika UislamuUbaleheNzigeDaudi (Biblia)DumaPaul MakondaAndalio la somo🡆 More