Michelle Obama: Mwanasheria na Mke wa raisi mstaafu wa Marekani.

Michelle LaVaughn Obama (jina la kuzaliwa ni Michelle LaVaughn Robinson; alizaliwa 17 Januari 1964) ni Mwanasheria wa Marekani na ndiye mke wa aliyekuwa Rais wa Marekani, Barack Obama.

Huyu ndiye wa kwanza mwenye asili ya Afrika kuwa mke wa Rais wa Marekani.

Michelle Obama: Mwanasheria na Mke wa raisi mstaafu wa Marekani.
Michelle Obama.

Michelle alizaliwa na kukua katika kitongoji cha South Side ya Chicago na kusoma hadi kuelekea katika Chuo Kikuu cha Princeton halafu katika Kitivo cha Sheria cha Harvard.

Baada ya kumaliza elimu yake hiyo, alirudi Chicago na kukubali kuchukua nafasi ya kazi katika kampuni ya Sidley Austin, halafu akaja kuwa mmoja kati ya wafanyakazi wa meya wa Chicago Richard M. Daley, halafu baadaye akafanya kazi katika Chuo Kikuu cha Chicago na Hospitali za Chuo Kikuu cha Chicago.

Michelle Obama ni dada wa Craig Robinson, kocha wa mpira wa kikapu wa Oregon State University. Alikutana na Barack pale alipojiunga na Sidley Austin. Pale Barack Obama alipochaguliwa kuwa kama Seneta, familia ya Obama ikachagua kuishi mjini Chicago South Side kuliko kuishi mjini Washington, D.C.

Marejeo

Viungo vya nje

Michelle Obama: Mwanasheria na Mke wa raisi mstaafu wa Marekani. 
Wiki Commons ina media kuhusu:
Orodha ya Wake wa Marais wa Marekani Michelle Obama: Mwanasheria na Mke wa raisi mstaafu wa Marekani. 
M. Washington · A. Adams · M. Jefferson Randolph · D. Madison · E. Monroe · L. Adams · E. Donelson · S. Jackson · A. Van Buren · A. Harrison · J. Harrison · L. Tyler · P. Tyler · J. Tyler · S. Polk · M. Taylor · A. Fillmore · J. Pierce · H. Lane · M. Lincoln · E. Johnson · J. Grant · L. Hayes · L. Garfield · M. McElroy · R. Cleveland · F. Cleveland · C. Harrison · M. McKee · F. Cleveland · I. McKinley · Edith Roosevelt · H. Taft · Ellen Wilson · Edith Wilson · F. Harding · G. Coolidge · L. Hoover · E. Roosevelt · B. Truman · M. Eisenhower · J. Kennedy · C. Johnson · P. Nixon · B. Ford · R. Carter · N. Reagan · B. Bush · H. Clinton · L. Bush · M. Obama

Michelle Obama: Mwanasheria na Mke wa raisi mstaafu wa Marekani.  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Michelle Obama kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

17 Januari1964AfrikaBarack ObamaMarekaniMkeRais wa MarekaniSheria

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Historia ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoNgano (hadithi)UtandawaziLafudhiP. FunkUchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2020NzigeKizunguzunguMnara wa BabeliMazungumzoLahajaMaana ya maishaMichael JacksonAina za manenoSamliKiumbehaiBarua rasmiMbwana SamattaNungununguStafeliHistoria ya Kanisa KatolikiUkristoMuundoMapinduzi ya ZanzibarLimauHassan bin OmariBunge la TanzaniaMakabila ya IsraeliLigi Kuu Tanzania BaraUbatizoFamiliaPaka-kayaKiambishiIbadaMwanzoMjombaShangaziKito (madini)BinamuFutiTamathali za semiUmemeUkristo barani AfrikaTambaziKukuJuxWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiUgaliFasihiJulius NyerereKata (maana)Ugonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaWabena (Tanzania)Saidi Salim BakhresaKengeUlumbiHerufiUchorajiBarua pepeKatereroUtohoziMfumo wa nevaUlimwenguMilango ya fahamuKombe la Dunia la FIFAAlasiriVitenzi vishiriki vipungufuKenyaPumuMkutano wa Berlin wa 1885Azimio la ArushaShule🡆 More