Kidudu-Dubu

Ngeli, oda na familia

Kidudu-dubu
Picha ya kidudu-dubu kwa hadubini ya elektroni
Picha ya kidudu-dubu kwa hadubini ya elektroni
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila ya juu: Ecdysozoa (Wanyama wanaoambua kiunzi cha nje]]
Faila: Tardigrada (Wanyama wenye )
Ngazi za chini

  • Ngeli Eutardigrada
    • Oda Apochela
    • Oda Parachaela
  • Ngeli Heterotardigrada
    • Oda Arthrotardigrada
    • Oda Echiniscoidea
  • Ngeli Mesotardigrada (Hadhi ya uainishaji si dhahiri)

Vidudu-dubu (kutoka Kiholanzi beerdiertjes) ni viumbehai vinavyofanana na dubu wadogo sana wenye jozi nne za miguu; wengi zaidi wana mm 0.3-0.5 wakiwa wazima, lakini kuna spishi kadhaa za hadi mm 1.2 na nyingine za mm 0.1 tu. Wanatokea katika maji au mahali pa majimaji. Wanyama hawa wanaweza kuendelea kuishi katika hali za kuzidi kiasi: kutoka halijoto ya karibu na sifuri halisi hadi juu ya kiwango cha kuchemka, ukavu kabisa, kanieneo kubwa sana, ombwe kabisa na mnururisho kali unaoionisha. Wakikaa katika hali ya ukavu kabisa, hupoteza takriban maji yote mpaka kubaki na 3% tu na hata baada miaka kumi katika hali hii wanaweza kuamka na kuendelea kuishi.

Picha

Kidudu-Dubu  Makala hii kuhusu "Kidudu-dubu" inatumia neno (au maneno) ambalo si kawaida na matumizi yake ni jaribio la kutafsiri neno (au maneno) la asili beerdiertje kutoka lugha ya Kiholanzi. Neno (au maneno) la jaribio ni kidudu-dubu.
Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala.

Kamusi za Kiswahili ama zinatofautiana kuhusu matumizi ya neno hili au hazieleweki au hazina neno kwa jambo linalojadiliwa.

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mohammed Gulam DewjiVihisishiAshokaSemantikiDNAAlfabetiThe MizTanganyika (ziwa)Kendrick LamarOrodha ya Marais wa TanzaniaMusaUfaransaKondoo (kundinyota)Tupac Shakur28 MachiMfumo wa mzunguko wa damuWikimaniaJogooClatous ChamaMachweoShetaniBrazilHoma ya iniMwenge wa UhuruEthiopiaVita Kuu ya Kwanza ya DuniaOrodha ya maziwa ya TanzaniaDubaiNyanda za Juu za Kusini TanzaniaLigi Kuu Uingereza (EPL)PunyetoRohoNg'ombeIsimuFasihiWahayaDuniaMapafuNgamiaSaddam HusseinAdhuhuriUaMmeaSanaaAlama ya uakifishajiBenjamin MkapaOrodha ya MiakaKhadija KopaSakramentiAbedi Amani KarumeMkoa wa MtwaraTesistosteroniDumaJuma kuuSaida KaroliUzazi wa mpango kwa njia asiliaViunganishiPasaka ya KikristoMahakama ya TanzaniaTashihisiHistoria ya KiswahiliKitabu cha ZaburiKunguniMethaliBata MzingaOrodha ya majimbo ya MarekaniWilaya ya KilindiBiblia ya KikristoOrodha ya vitabu vya BibliaPesaHassan bin OmariRwandaMivighaMapinduzi ya ZanzibarTwiga🡆 More