Hisabati

Hisabati ni somo linalohusika na idadi, upimaji na ukubwa wa vitu.

Hisabati
Euklides, mwanahisabati wa Ugiriki wa Kale, karne ya 3 KK, alivyochorwa na Raffaello Sanzio.

Kwa ujumla linahusika na miundo na vielezo.

Hisabati linaundwa na masomo mbalimbali, kama hesabu, jiometria na aljebra.

Neno hisabati katika lugha ya Kiswahili limetokana na neno la Kiarabu حسابات (halisi: hesabu (wingi)).

Somo hili huweza kutumika kutatua matatizo mbalimbali, lakini hasa ni la msingi katika uelewa wa ulimwengu kisayansi. Hivyo hutumiwa na masomo mengine kama Fizikia, Jiografia, Kemia katika mafunzo yake.

    Hisabati Hisabati Hisabati
    Mantiki ya kihisabati Nadharia ya seti Nadharia ya kategoria Nadharia ya kuhesabu

Historia ya Hisabati

Mwanahisabati Mjerumani Carl Friedrich Gauss aliita hisabati malkia wa sayansi ambayo inasaidia katika uvumbuzi wa kisayansi. Somo la hisabati lilikita mizizi kwa sababu ya uchu wa wanasayansi kupenda kutatua shida kama vile za biashara, ugavi wa ardhi na masomo ya sayari na katika kukisia uzani.

Tanbihi

Marejeo

Marejeo mengine

Viungo vya nje

Hisabati 
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno:
Hisabati  Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hisabati kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Hisabati Historia ya Hisabati TanbihiHisabati MarejeoHisabati Marejeo mengineHisabati Viungo vya njeHisabatiIdadiUkubwaUpimaji

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Viwakilishi vya idadiTenzi tatu za kaleTendo la ndoaDiniMkoa wa ArushaHomoniKitenziTungo sentensiMashuke (kundinyota)Salim Ahmed SalimLugha ya taifaUjimaKaaPunyetoOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaShambaLigi ya Mabingwa AfrikaMaana ya maishaSimbaWangoniHafidh AmeirHistoria ya KenyaMichezo ya watotoMatumizi ya lugha ya KiswahiliWanyamweziTambikoOrodha ya milima ya TanzaniaHistoria ya AfrikaJiniMunguMuda sanifu wa duniaUandishi wa ripotiJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaMmeaAbedi Amani KarumeJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoFBNembo ya TanzaniaWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiMohamed HusseiniEe Mungu Nguvu YetuAgano JipyaUandishiBarua pepeMkoa wa KageraMuhimbiliKishazi tegemeziHadhiraMsamahaMoscowMamba (mnyama)NgiriKibodiWamasaiWachaggaKanisa KatolikiMachweoKipimajotoHektariViwakilishi vya kuoneshaOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaUmemeCristiano RonaldoKatekisimu ya Kanisa KatolikiInsha za hojaBiblia ya KikristoKitenzi kikuu kisaidiziMafurikoOrodha ya majimbo ya MarekaniMivighaAli Kiba🡆 More