Euklides

Euklides (takr.

365 KK - 300 KK, kwa Kigiriki Εὐκλείδης, Eukleidēs, yaani Mashuhuri, kwa Kiingereza Euclid) alikuwa mwanahisabati wa Misri ya Kale. Anaitwa pia Euklides wa Aleksandria ili kumtofautisha na Euklide wa Megara, akihesabiwa pia kati ya wataalamu wa Ugiriki ya Kale maana mji wa Aleksandria nchiniMisri iliundwa na Wagiriki na kukaliwa na Wagiriki hasa kwa karne nyingi, hivyo inahesabiwa zaidi kama sehemu ya utamaduni wa Ugiriki kuliko Misri.

Euklides
Euklides.

Anaitwa mara nyingi "Baba wa Jiometria".

Maisha

Habari zake hazina uhakika kamili kuhusu miaka ya maisha yake lakini anaaminiwa alitokea katika familia ya Kigiriki akaishi huko Aleksandria wa Misri.

Hakuna mengi yanayojulikana kwa hakika juu ya maisha yake. Huaminiwa ya kwamba alizaliwa Aleksandria mnamo 365 KK akapata mafunzo ya juu kwenye akademia ya Athens, Ugiriki.

Kazi yake alifanya wakati wa Farao Ptolemaio I (323 KK283 KK) akifundisha hisabati.

Alipata kuwa maarufu kwa njia ya vitabu vyake 13 vinavyofundisha hisabati vilivyoitwa Στοιχεῖα stoicheia au "Misingi". Tafsiri za vitabu hivyo zilitumiwa hadi karne ya 19.

Tanbihi

Marejeo

Euklides 
Euclides, 1703

Marejeo mengine

Viungo vya nje

Euklides 
Wiki Commons ina media kuhusu:
Euklides  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Euklides kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Euklides MaishaEuklides TanbihiEuklides MarejeoEuklides Marejeo mengineEuklides Viungo vya njeEuklides300 KK365 KKAleksandriaKarneKigirikiKiingerezaMisriMisri ya KaleMjiMwanahisabatiUgiriki ya KaleUtamaduniWataalamu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Kitunda (Ilala)MazingiraBurundiLugha ya maandishiKinyereziNamba tasaMaishaHistoria ya KenyaUkongaMaliasiliMandhariGoba (Ubungo)Kassim MajaliwaHekimaAlomofuMaktabaMbuNambaNenoHistoria ya WasanguBata MzingaKanisa KatolikiTanzaniaSoga (hadithi)Ngono zembeOrodha ya Marais wa MarekaniAlfabetiMaeneo ya Kihistoria ya Kitaifa ya TanzaniaWakingaDemokrasiaWilaya ya ArumeruMkoa wa IringaTume ya Taifa ya UchaguziDiamond PlatnumzVitendawiliUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaFasihi simuliziUmemeIdi AminNimoniaJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoShangaziVihisishiAmina ChifupaMalengo ya Kiswahili kuwa lugha ya taifaOrodha ya maziwa ya TanzaniaKata za Mkoa wa MorogoroTambikoJamhuri ya Watu wa ZanzibarMlo kamiliHektariUgonjwa wa uti wa mgongoMadhara ya kuvuta sigaraOrodha ya Watakatifu wa AfrikaPamboGongolambotoMkunduMkoa wa MorogoroMuda sanifu wa duniaMkoa wa TangaMnyamaTamathali za semiVirusi vya UKIMWIMofimuKiarabuOrodha ya Marais wa ZanzibarKiwakilishi nafsiClatous ChamaWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiHaki za binadamuAbedi Amani KarumeWilaya ya TemekeUtawala wa Kijiji - Tanzania🡆 More