Java

Java ni kisiwa cha Indonesia.

Kiko upande wa kusini-mashariki wa kisiwa cha Sumatra.

Java
Ramani ya Java.
Java
Mahali pake.

Eneo la kisiwa ni km² 138,794.

Mwaka wa 2014 idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa milioni 143. Watu wakaao kisiwani mwa Java huongea lugha mbalimbali, hasa Kijava, Kisunda na Kimadura.

Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Jakarta.

Java Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.

Tags:

IndonesiaKisiwaKusiniMasharikiSumatra

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Vivumishi vya urejeshiMkoa wa NjombeTeknolojiaMilango ya fahamuManispaaMfumo wa JuaStadi za lughaWahaKanisaBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiOrodha ya vitabu vya BibliaUbunifuNdovuWazaramoKiambishi awaliMlima wa MezaMkoa wa IringaAfyaViwakilishi vya idadiUislamuTausiMaarifaDoto Mashaka BitekoHistoria ya TanzaniaMaana ya maishaMatumizi ya lugha ya KiswahiliUmoja wa MataifaBagamoyo (mji)Saidi Salim BakhresaKamusi ya Kiswahili - KiingerezaMfupaMahakamaPhilip Isdor MpangoIyumbu (Dodoma mjini)DiniKamusiMmeaUtoaji mimbaDhima ya fasihi katika maishaLugha za KibantuOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuNishati ya mwangaNomino za pekeeJoziZama za MaweBabeliFananiKitunda (Ilala)Wilaya za TanzaniaFasihi andishiHistoria ya KanisaNamba za simu TanzaniaViwakilishiBaraWabena (Tanzania)KiraiMaradhi ya zinaaKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniZuchuWadatogaMazungumzoHekimaShinikizo la juu la damuMtandao wa kijamiiAlfabetiUtandawaziBendera ya KenyaMisemoOrodha ya kampuni za Tanzania🡆 More