Usoshalisti

Usoshalisti ni nadharia ambayo inahusu siasa na uchumi na kutaka njia kuu za uchumi ziwe na manufaa kwa jamii nzima; ili kuhakikisha hilo, inataka zimilikiwe na umma, dola au taifa.

Usoshalisti
Stempu ya Umoja wa Kisovyeti iliyomkumbusha Kwame Nkrumah, rais wa kwanza wa Ghana, aliyependekeza usoshalisti wa Kiafrika.
Usoshalisti
Wazo la usawa katika jamii liliongoza mpango wa kuanzisha mji wa New Harmony, Indiana, Marekani.

Chanzo cha nadharia hiyo ni mwishoni mwa karne ya 18 kutokana na Vita vya uhuru wa Marekani na hasa Mapinduzi ya Kifaransa.

Zilitokea aina nyingi za usoshalisti, kila moja ikiwa ya namna yake. Muhimu zaidi ni ile ya Karl Marx (1818-1883) aliyedai ukomunisti kuwa njia pekee ya kuleta haki na usawa.

Upande wa Afrika, mojawapo ni "Ujamaa" ambao ulipendekezwa na Julius Kambarage Nyerere (1922-1999), rais wa kwanza wa Tanzania, na ulipitishwa katika Azimio la Arusha.

Marejeo

Viungo vya nje

Usoshalisti 
Wiki Commons ina media kuhusu:
Usoshalisti 
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:

Tags:

DolaJamiiNadhariaSiasaTaifaUchumiUmma

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

AsiaWilaya za TanzaniaKihusishiViwakilishi vya pekeeMkanda wa jeshiMkatabaMwanamkeUgonjwa wa kuharaMkoa wa MwanzaShikamooLigi ya Mabingwa UlayaMkonoJinsiaAzimio la ArushaSimu za mikononiManchester CityKifaruShairiKuchaJanuary MakambaBendera ya KenyaMzabibuAntibiotikiMfumo wa homoniMtandao wa kompyutaMkoa wa TangaWagogoMagharibiFran BentleySarufiPius MsekwaRaiaHaki za watotoKiambishiOrodha ya Marais wa MarekaniBaraTabianchiDiamond PlatnumzKonsonantiRayvannyOrodha ya Marais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoNembo ya TanzaniaFumo LiyongoDodoma (mji)Elimu ya watu wazimaShetaniUhuru wa TanganyikaNominoDhima ya fasihi katika maishaDamuInstagramNelson MandelaMfumo katika sokaWimboIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)Jay MelodyMkoa wa DodomaDiraRedioArsenal FCMkunduMsichanaMoyoKoffi OlomideMkoa wa ArushaMjasiriamaliMvuaMkoa wa LindiWaziriOrodha ya viongozi🡆 More