Oscar Wilde

Oscar Fingal O'Flahertie Wills Wilde (Oktoba 16, 1854 – Novemba 30, 1900) alikuwa mshairi wa Ireland na pia mwandishi wa maigizo ya vitabu.

Oscar Wilde
Oscar Wilde

Baada ya kuandika sana katika miaka ya 1880 alikuwa miongoni mwa waandishi maarufu sana jijini London katika miaka ya 1890.

Amekuwa akikumbukwa sana kutokana na kuandika maigizo mengi pamoja na kuwa na misemo mizuri. Pia anakumbukwa sana kutokana na kazi yake iliyojulikana kama The Picture of Dorian Gray.

Oscar Wilde Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Oscar Wilde kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

18541900IrelandMaigizoMshairiMwandishiNovemba 30Oktoba 16Vitabu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Uhuru wa TanganyikaMfumo wa upumuajiLiverpoolRaiaNyangumiKiswahiliWapareWikipediaLatitudoMwaniChuo Kikuu cha Dar es SalaamMishipa ya damuMbuniAsili ya KiswahiliSiriLahaja za KiswahiliPichaLionel MessiMbadili jinsiaImaniOrodha ya vitabu vya BibliaUgonjwa wa uti wa mgongoArsenal FCHistoria ya KanisaMichezoInjili ya MarkoKanda Bongo ManWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiRedioNdovuJamiiVitenzi vishirikishi vikamilifuKiingerezaMwanzo (Biblia)Muungano wa Tanganyika na ZanzibarUkimwiUtoaji mimbaUNICEFvvjndOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaVidonge vya majiraOrodha ya nchi kufuatana na wakaziInshaUpinde wa mvuaMkoa wa MbeyaTambikoVivumishi vya pekeeMwakaSimba (kundinyota)BaraWizara ya Mifugo na UvuviDalufnin (kundinyota)TarbiaWilaya ya TemekeWamasaiViwakilishi vya urejeshiBloguNyotaWilaya ya ArushaVirusi vya CoronaPunyetoHistoriaMartin LutherOrodha ya makabila ya TanzaniaUkutaHekalu la YerusalemuRoho MtakatifuUzazi wa mpango kwa njia asiliaKinembe (anatomia)Utalii nchini KenyaBawasiriMkoa wa Morogoro🡆 More