Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Kuna ukurasa unaoitwa "Nadharia" kwenye Wiki Kiswahili. Angalia pia matokeo mengine ya utafutaji yaliyopatikana.
Nadharia (kutoka neno la Kiarabu; kwa Kiingereza: "theory") ni mkusanyo wa taarifa mbalimbali zenye ukweli ndani yake bila kuegemea upande fulani. Katika... |
Nadharia ya uhusianifu iliundwa na Albert Einstein na inajumlisha nadharia ya uhusianifu maalumu (mwaka 1905) na nadharia ya uhusianifu ya jumla (1916)... |
Nadharia ya seti ni somo la seti katika hisabati. Seti ni mkusanyo wa vitu mbalimbali vinavyoitwa memba. Katika kuandika seti, tunafunga memba katika {mabano... |
Nadharia ya njama (kwa Kiingereza: conspiration theory) ni masimulizi yanayodai kwamba kundi la watu ("wala njama") wamepatana kwa siri ("kula njama")... |
Mlipuko mkuu (elekezo toka kwa Nadharia mgongano) Mlipuko mkuu au mlipuko asilia (kwa Kiingereza Big Bang) ni nadharia ya kisayansi kuhusu chanzo cha ulimwengu inayojaribu kueleza sababu ya kutokea kwa... |
wake. Nadharia hiyo inafanya kazi kwa vipimo 10, hata hivyo, kuna nadharia inayoitwa Nadharia-M, ambayo inafanya kazi kwa vipimo 11. Nadharia-M ilitumia... |
Nadharia ya namba (kwa Kiingereza Theory of numbers; awali: arithmetic) ni tawi la hisabati linalochunguza hasa nambakamili. Mwanahisabati Mjerumani Carl... |
mitazamo wanasayansi wanaunda nadharia. Baadaye wanaangalia kama bashiri za nadharia ni kweli. Zisipokuwa kweli watakanusha nadharia hiyo. Ikionekana kwamba... |
jitahada za kuendeleza nadharia ya mtuazi wa kikwantumu. Ulikitwa katika mitazamo na vitendo, na pia seti zilizojisheheneza kwa nadharia zinazodhihirishwa... |
na Nadharia, Nairobi: Focus Publications. ISBN 9966-882-79-6 Samwel, Method, Selemani Amina na Akech Kabiero (2013), "Ushairi wa Kiswahili: Nadharia, Mifano... |
Nadharia ya lugha ya programu (kwa Kiingereza: Programming language theory; kifupi: PLT) ni tawi la Sayansi ya kompyuta ambayo inashughulikia muundo, utekelezaji... |
humchagua kiongozi wao akiitwa mara nyingi rais. Kuna pia vyeo vingine. Katika nadharia jamhuri inatakiwa kufuata muundo wa demokrasia. Lakini kuna pia jamhuri... |
padri kuhusu maungamo aliyopokea katika sakramenti ya kitubio. Watu wa nadharia za njama mara nyingi huona siri nyuma ya mambo mengi. Kwa mfano, mwaka... |
jinsi tunavyoweza kuhesabu kwa kutumia hasa kanuni zifuatazo: kujumlisha, kutoa, kuzidisha na kugawa n.k. Hesabu ni sehemu ya msingi ya nadharia ya namba.... |
wa nadharia ya atomu. Pia alifanya masomo ya kwanza ya upofu wa rangi. Nadharia ya Dalton ni nadharia ya kisayansi kuhusu atomu. Aliunda nadharia hiyo... |
chochote cha kiumbo inayohusika katika maingiliano. Nadharia inayoelezea kwanta katika fizikia inaitwa nadharia ya kwanta na inazungumza kwamba vipimo vyovyote... |
kazi ya awali, kutatua matatizo mapya au yaliyopo, msaada wa nadharia, au kuendeleza nadharia mpya. Mradi wa utafiti unaweza pia kuwa upanuzi wa kazi ya... |
Agosti 1632 – 28 Oktoba 1704) alikuwa mwanafalsafa Mwingereza aliyetoa nadharia ya "Mkataba Jamii": mkataba huu unahusisha watawala na watawaliwa ambapo... |
utegili wa hidrojeni pamoja na mnururisho wa sumakuumeme na nyutrino. Katika nadharia ya fizikia kuna pia mata nyeusi na nishati nyeusi ambazo hazikuthibitishwa... |
Nadharia tete ya mgusano (kwa Kiingereza: "Contact Hypothesis") inasema kwamba ili kuboresha uhusiano kati ya vikundi viwili njia ni kuanzisha mgusano... |