Nadharia ya seti ni somo la seti katika hisabati.
Seti ni mkusanyo wa vitu mbalimbali vinavyoitwa memba.
Katika kuandika seti, tunafunga memba katika {mabano maua} na kuzitenganisha kwa alama ya mkato: k.mf., {1, 2, 3} inashika 1, 2 na 3; vilevile {a, b, c} inafunga a, b na c.
Kuna aina tatu za nadharia za seti, nazo ni: njia ya maneno, njia ya orodha na njia ya kanuni.
Nadharia ya seti ilibuniwa na Georg Cantor mwaka 1874, lakini ilihitaji kuboreshwa kama alivyoonyesha Bertrand Russell.
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nadharia seti kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Nadharia seti, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.