Stempu (kutoka neno la Kiingereza stamp, yaani kilichochapwa) ya posta ni kijipande cha karatasi ambacho kinauzwa ili kubandikwa juu ya barua au kifurushi kama thibitisho la malipo ya gharama ya usafirishaji wake.
Pengine uzuri wake unafanya watu wazikusanye badala ya kuzituma au baada ya kutumiwa.
Stempu ya kwanza ilitolewa Uingereza tarehe 1 Mei 1840. Kutoka huko stempu zimeenea duniani kote.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Stempu, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.