Funchal

Funchal ni makao makuu wa visiwa vya Madeira ikiwa kwenye kisiwa kikuu kinachoitwa Madeira pia.

Vilevile makao makuu ya wilaya ya Funchal. Madeira ni funguvisiwa la Kireno katika sehemu ya Kiafrika ya Atlantiki.

Funchal
KIsiwa Funchal







Funchal
Funchal
Bendera
Funchal
Nembo
Majiranukta: 32°39′04″N 16°54′35″E / 32.65111°N 16.90972°E / 32.65111; 16.90972
Nchi Ureno
Mkoa Madeira
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 100,847
Tovuti:  http://www.cm-funchal.pt/cmf/

Maana ya neno "funchal" ni "shamari" - kwa sababu shamari ilipatikana kwa wingi wakati Wareno walipofika kisiwani mara ya kwanza.

Mji una wakazi 45,000; ni zaidi ya lakhi moja pamoja na mitaa ya nje. Funchal ilikua pamoja na utalii wa watu tajiri. Kuna chuo kikuu "Universidade da Madeira".

Wilaya ya Funchal ina visiwa vya Porto Santo, Ilhas Desertas na Ilhas Selvagens pamoja na Madeira yenyewe.

Picha

Tazama pia

Viungo vya nje

Funchal 
Wiki Commons ina media kuhusu:
Funchal  Makala hii kuhusu maeneo ya Ureno bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Funchal kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

AfrikaAtlantikiFunguvisiwaKisiwaMadeiraMakao makuuUrenoVisiwa vya MadeiraWilaya

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

KitenziUkraineUtendi wa Fumo LiyongoMagavanaKenyaShirikisho la MikronesiaUchambuzi wa SWOTAngahewaHakiFalsafaWagogoSomo la UchumiAina za ufahamuWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiTanzaniaEswatiniViwanja vya Afrika (Kwa Ukubwa)DayolojiaSaida KaroliSamia Suluhu HassanSubrahmanyan ChandrasekharOrodha ya shule nchini TanzaniaJKiwakilishi nafsiShambaSteven KanumbaAzziad NasenyaVielezi vya mahaliInshaUandishi wa inshaUzalendoJipuNishati ya mwangaTupac ShakurMgawanyo wa AfrikaBikira MariaMsamiatiFMNovatus DismasMavaziYoung Africans S.CMahariCKiraiMethaliWanyama wa nyumbaniMandhariMohammed Gulam DewjiZambiaMrisho NgassaDubaiZana za kilimoOrodha ya miji ya TanzaniaJioniNamibiaKoalaKikohoziUzazi wa mpango kwa njia asiliaAla ya muzikiJakaya KikweteTungo kishaziUkimwiUmaskiniNgeli za nominoUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaKipindupinduNikki wa PiliOrodha ya volkeno nchini TanzaniaIniMauaji ya kimbari ya RwandaOrodha ya viwanja vya ndege nchini TanzaniaJulius NyerereFasihiHistoria ya ZanzibarUchawiMagharibi🡆 More