Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Kuna ukurasa unaoitwa "Funguvisiwa" kwenye Wiki Kiswahili. Angalia pia matokeo mengine ya utafutaji yaliyopatikana.
Funguvisiwa ni kundi la visiwa vinavyokaa sehemu pamoja baharini. Mara nyingi kundi la namna hiyo lina asili moja, kama vile kuwa mabaki ya kisiwa kikubwa... |
Funguvisiwa la Malay (kwa lugha kubwa za wenyeji: Nusantara, Kapuluang Malay, Kapupud-ang Malay) ni funguvisiwa lililoko kati ya Indochina na Australia... |
Funguvisiwa la Zanzibar ni fungu la visiwa ambalo linapatikana katika Bahari ya Hindi. Funguvisiwa hilo linaunda nchi ya Zanzibar ambayo ni sehemu mojawapo... |
Bahari ya Funguvisiwa (kwa Kiingereza: Archipelago Sea) ni bahari ya pembeni ya Atlantiki.... |
Funguvisiwa la Franz Josef au Nchi ya Franz Josef (au Funguvisiwa/Nchi ya Frants Iosif) ni funguvisiwa upande wa kaskazini wa Novaya Zemlya katika Bahari... |
Funguvisiwa la Lamu ni kundi la visiwa katika Bahari Hindi mbele ya pwani ya Kenya kaskazini ambavyo ni sehemu ya Kaunti ya Lamu, Kenya. Visiwa vikubwa... |
Funguvisiwa la Britania ni kundi la visiwa vya Ulaya ya kaskazini-magharibi. Jumla ni visiwa zaidi ya 6,000 vyenye eneo la km² 315,134, lakini ni hasa... |
Funguvisiwa la Aktiki linapatikana katika Bahari ya Aktiki, kaskazini kwa Kanada bara. Ndio mwisho wa Amerika kuelekea ncha ya kaskazini. Visiwa vyake... |
Visiwa vya Mariana (elekezo toka kwa Funguvisiwa ya Mariana) Visiwa vya Mariana (kwa Kiingereza: Mariana Islands) ni funguvisiwa la Pasifiki ya magharibi, takriban katikati ya Papua Guinea Mpya na Japani. Vinahesabiwa... |
Funguvisiwa la Kurili (kwa Kirusi кури́льские острова́, kurilskiye ostrova) ni kundi la visiwa katika Pasifiki ya Kaskazini ambavyo ni sehemu ya Urusi... |
Funguvisiwa la Bismarck (kwa Kiingereza: Bismarck Archipelago) ni funguvisiwa la kaskazini mwa Papua Guinea Mpya. Vingi vina asili ya volikano. Eneo lote... |
Visiwa vya Aland (elekezo toka kwa Funguvisiwa la Aland) Visiwa vya Aland (kwa Kiswidi: Åland; kwa Kifini: Ahvenanmaa) ni funguvisiwa la Bahari ya Baltiki upande wa kusini magharibi wa Ufini. Mji mkuu ni Mariehamn... |
Funguvisiwa la Karolini (kwa Kiingereza: Caroline Islands) ni funguvisiwa la Mikronesia lililosambaa sana katika Bahari ya Pasifiki hadi umbali wa kilomita... |
Tuamotu (fungu Visiwa ndani ya funguvisiwa) Tuamotu ni funguvisiwa la Polinesia ya Kifaransa. Kiko upande wa kaskazini-mashariki wa kisiwa cha Tahiti. Ni funguvisiwa kubwa kabisa duniani. Mwaka wa... |
Zanzibar ni neno linalotaja Kijiografia Funguvisiwa la Zanzibar kwenye mwambao wa Afrika ya Mashariki hasa visiwa vikubwa vya Unguja na Pemba pamoja na... |
Monjes (funguvisiwa) La Tortuga (kisiwa) La Sola (kisiwa) Los Testigos (visiwa) Los Frailes (visiwa) Patos (kisiwa) Los Roques (funguvisiwa) Blanquilla... |
ya Mashariki karibu na Dar es Salaam. Unguja ndicho kisiwa kikuu cha funguvisiwa la Zanzibar ambavyo ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Unguja... |
Svalbard ni jina la funguvisiwa la Norwei katika Bahari ya Aktika, linalojulikana pia kama funguvisiwa la Spitsbergen. Iko kati ya Norwei na ncha ya kaskazini... |
Pohjanlahti au Bottniska viken) ni tawi la kaskazini kabisa la Bahari ya Baltiki. Iko kati ya Ufini na Uswidi. Kusini mwake mna funguvisiwa la Aland.... |
kiitwe "bara". Visiwa vilivyo karibu kama kundi mara nyingi huitwa "funguvisiwa". Tofauti kati ya kisiwa kikubwa na bara dogo limeamuliwa kati ya Greenland... |