Svalbard

Svalbard ni jina la funguvisiwa la Norwei katika Bahari ya Aktika, linalojulikana pia kama funguvisiwa la Spitsbergen.

Svalbard
Ramani ya Svalbard.

Iko kati ya Norwei na ncha ya kaskazini ya dunia.

Kuna wakazi 2,756 kwenye visiwa vitatu vya Spitsbergen, Bjørnøya (Kisiwa cha Dubu) na Hopen. Makao makuu ni kijiji cha Longyearbyen.

Mkataba wa kimataifa wa Svalbard umekubali ya kwamba funguvisiwa liko chini ya Norwei lakini kuna masharti fulani. Raia wa nchi zote 40 zilizotia sahihi mkataba huo wana haki ya kuingia huko na kufanya shughuli zao. Hivyo kuna kijiji cha Kirusi cha Barentsburg ambako Warusi wanachimba madini.

Kisiwa cha Dubu (Bjørnøya byornoya, kwa Kiingereza: Bear Island) hutazamwa kama sehemu ya kusini kabisa ya Svalbard, ingawa ni kisiwa cha pekee chenye umbali wa km 235 kutoka Spitsbergen.

Viungo vya Nje

Svalbard  Makala hii kuhusu maeneo ya Norwei bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Svalbard kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Bahari ya AktikaFunguvisiwaJinaNorwei

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

SkeliLugha za KibantuKiambishi tamatiMasafa ya mawimbiShahawaHistoria ya KanisaBongo FlavaSikukuu za KenyaKiimboUongoziKichecheMagharibiMaandishiNafsiMfumo wa upumuajiTiktokMtakatifu PauloOrodha ya Magavana wa TanganyikaTanzaniaMzabibuNgeliMbuga za Taifa la TanzaniaUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiPumuWayahudiKanisaVieleziSitiariKiolwa cha anganiNomino za wingiMkoa wa SingidaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaSimba S.C.BiolojiaKitenzi kikuuTamthiliaMajigamboVielezi vya namnaMsituPunda miliaInsha ya wasifuZakaMbagalaUkristoKimara (Ubungo)Azimio la ArushaHadithiSumakuNenoNduniBibliaHerufiKiboko (mnyama)Mkanda wa jeshiIntanetiMnyoo-matumbo MkubwaHarmonizeBaruaNyati wa AfrikaTashihisiMkopo (fedha)BruneiEl NinyoMuhammadAmina ChifupaKigoma-UjijiMbooFasihi andishiIsraelUKUTABawasiri🡆 More