Thaura (kutoka neno la Kiarabu) ni aina ya mapinduzi ambapo serikali hugeuzwa na jeshi au watu wanaohusiana na serikali bila wananchi kwa jumla kushiriki.
Mashirika kama vile Umoja wa Afrika na Ushirika wa Nchi za Amerika yamepitisha mifumo ya kupambana na mapinduzi ya kijeshi. Kupitia tishio la vikwazo, mashirika hayo hujaribu kukabiliana na mapinduzi ya kijeshi. Utafiti wa mwaka 2016 umegundua kuwa Umoja wa Afrika unachukua hatua za maana katika kupunguza thaura katika bara la Afrika.
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Thaura, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.