Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Kuna ukurasa unaoitwa "Jeshi" kwenye Wiki Kiswahili. Angalia pia matokeo mengine ya utafutaji yaliyopatikana.
maadui wa nje. Neno linatumika hasa kwa kutaja jeshi la ardhi, jeshi la wanamaji na jeshi la anga. Kazi ya jeshi ni kulinda nchi dhidi ya maadui wa nje kutetea... |
Jeshi la majini au Jeshi la wanamaji ni kitengo cha pekee cha jeshi la mataifa mengi kilicho tayari kushindana na maadui kwenye maji hasa baharini. Linajumlisha... |
kuwa Jeshi la Marekani katika Katiba ya Marekani|U.S. Katiba. Tawi kongwe zaidi na kuu zaidi la jeshi la U.S. kwa utaratibu wa kutanguliza, Jeshi la kisasa... |
Jeshi Jekundu (kwa Kirusi Красная армия Krasnaya armiya, kwa Kiingereza Red Army) lilikuwa jina la majeshi ya Umoja wa Kisovyeti tangu kuanzishwa kwake... |
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) (kwa Kiingereza Tanzania People's Defense Force TPDF) ni jeshi lililoanzishwa mnamo mwezi Septemba katika... |
Jeshi la Misri ni vikosi vya kijeshi vya nchi ya Misri. Jeshi hilo ndilo kubwa katika Afrika na Mashariki ya Kati, likiwa na wanajeshi wa nchi kavu, wa... |
Jeshi la anga ni jeshi linalotumia ndege n.k. Jeshi la anga hutumia ndege hizo kwa ajili ya kusafirisha wanajeshi na mabomu kama sehemu wanayokwenda kushambulia... |
Jeshi la ardhi ni mkono wa jeshi la nchi unaojumlisha vikosi vyote vilivyo tayari kupigania maadui kwenye nchi kavu, tofauti na mikono mingine inayoshughulika... |
Jeshi la Kujenga Taifa (kifupi JKT) ni tawi la jeshi la Tanzania. Liliasisiwa tarehe 10 Julai 1963 kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa vijana wa Kitanzania... |
Majeshi ya Ulinzi ya Kenya (elekezo toka kwa Jeshi la Kenya) ni vikosi vya kijeshi vya Jamhuri ya Kenya: Jeshi la Ardhi la Kenya, Jeshi la Wanamaji la Kenya, na Jeshi la Anga la Kenya huunda vikosi vya ulinzi. Muundo... |
Kambi ya jeshi Lugalo ni kambi kubwa ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania iliyoko jijini Dar es Salaam kwenye barabara ya Bagamoyo. Ilianzishwa wakati... |
Makumbusho ya Jeshi ni makumbusho ya historia ya jeshi yanayopatikana Kumasi nchini Ghana,yalianzishwa mwaka 1953. Ikulu ya Manhyia Makumbusho ya Taifa... |
Schutztruppe (elekezo toka kwa Jeshi la kikoloni la Ujerumani) Schutztruppe (tamka shuts-tru-pe; Kijerumani kwa "Jeshi la Ulinzi") ilikuwa jina la jeshi la kikoloni la Ujerumani hadi Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia. Ilifanywa... |
Jeshi la Ardhi la Kenya ni tawi la wanajeshi wa ardhini la Majeshi ya Ulinzi ya Kenya. Jeshi la leo lilitokana na King's African Rifles. Mwezi Agosti... |
Askari (Kusanyiko Jeshi) ulinzi na usalama katika nchi, pia hufanya kazi hiyo kama sehemu ya jeshi. Askari anaweza kuwa mtu aliyechaguliwa, afisa asiyeagizwa, au afisa wa jeshi.... |
Uwanja wa michezo wa Jeshi la Misri (Kiar. ستاد الجيش المصري بالسويس sitad al-jaish al-masri bil-suwais) ni uwanja wa Jeshi la Misri huko Suez. Ni uwanja... |
Ofisa (Kusanyiko Jeshi) wanajeshi wa kawaida. Katika Jeshi la Wananchi wa Tanzania vyeo vya maofisa vimepokewa kutoka jeshi la kikoloni vikifuata mfumo wa jeshi la Uingereza. Maofisa... |
Jeshi la Magereza Tanzania Bara (kwa Kiingereza Tanzania Prisons Service TPS) ni jeshi la serikali ya Tanzania, jukumu la jeshi hili ni kutunza, wafungwa... |
Jenerali (Kusanyiko Jeshi) huwa kiongozi wa ngazi ya juu katika jeshi. Idadi ya majenerali si kubwa. Kazi yao ni kuongoza na kupanga kazi ya jeshi. Kwa kawaida hawashiriki wenyewe katika... |
Jeshi la Anga la Kenya ni tawi la Majeshi ya Ulinzi ya Kenya kwa ajili ya vita vya hewani. Moi Air Base, Eastleigh ndio makao makuu. Jeshi la Anga la Kenya... |