Bahari Ya Shamu

Bahari ya Shamu (kwa Kiingereza Red Sea; kwa Kiarabu البحر الأحمر Baḥr al-Aḥmar, al-Baḥru l-’Aḥmar; kwa Kiebrania ים סוף Yam Suf; kwa Kitigrinya ቀይሕ ባሕሪ QeyH baHri) ni ghuba kubwa ya Bahari ya Hindi.

Jina la kihistoria katika lugha ya Kigiriki lilikuwa Bahari ya Eritrea (ερυθρά θάλασσα, erythrá thálassa).

Bahari Ya Shamu
Eneo la Bahari ya Shamu ("Red Sea")

Kaskazini kuna rasi ya Sinai pamoja ghuba ndogo za Aqaba na Suez; pia kwa sasa imeunganika na Mediteranea kwa njia ya Mfereji wa Suez. Kusini Bahari ya Shamu imeunganika na Bahari Hindi kwa njia ya mlango wa bahari wa Bab el Mandeb.

Ghuba yote ina urefu wa takriban kilomita 2000; upana wake ni kati ya km 300 na 20 tu kwenye Bab el Mandeb. Eneo lake ni km² 450,000.

Vilindi vyake vinaelekea hadi mita 2500 chini ya uwiano wa bahari. Vilindi hivyo ni sehemu ya Bonde la Ufa.

Halijoto ya maji ni kati ya 21-25 °C.

Nchi za kando

Nchi zinazopakana na Bahari ya Shamu ni:

Tags:

Bahari ya EritreaBahari ya HindiGhubaHistoriaJinaKiarabuKiebraniaKigirikiKiingerezaKitigrinyaLugha

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

BiasharaUundaji wa manenoKibodiChatuUhifadhi wa fasihi simuliziUtandawaziKarne ya 18Historia ya EthiopiaOrodha ya miji ya MarekaniMkoa wa TangaDar es SalaamMlongeOrodha ya Magavana wa TanganyikaMmeaXXMichael JacksonUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaHoma ya mafuaZana za kilimoJipuMasharikiUkabailaMtume PetroWanyakyusaUtafitiNamba ya mnyamaMweziAlama ya uakifishajiNgome ya YesuZama za ChumaHadithiAslay Isihaka NassoroHaki za binadamuLugha ya taifaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaSikukuuMwanzoPijini na krioliAgano JipyaMsumbijiKumaVita Kuu ya Kwanza ya DuniaWamandinkaVivumishi vya idadiNgw'anamalundiPicha takatifuMaradhi ya zinaaDawa za mfadhaikoZabibuRitifaaMkoa wa MtwaraKupatwa kwa JuaSalaNyokaSayariUnyevuangaViunganishiTungo sentensiShinikizo la juu la damuSaddam HusseinFananiVita Kuu ya Pili ya DuniaMatamshiArudhiHoma ya matumboOrodha ya nchi kufuatana na wakaziBasilika la Mt. PauloMendeSteven KanumbaAsiliMalawi🡆 More