Bahari Ya Kiarabu

Bahari ya Kiarabu (kwa Kiarabu: بحر العرب bahr al-arab) ni sehemu ya kaskazini ya Bahari Hindi iliyopo baina ya Bara Arabu na Bara Hindi.

Eneo lake ni takribani kilomita za mraba 4,82,000 ilhali kina kirefu ni mita 4,652..

Bahari Ya Kiarabu
Bahari ya Kiarabu
Bahari Ya Kiarabu
ramani ya Bahari ya Kiarabu

Upande wa kaskazini inapakana na Pakistan na Iran, upande wa magharibi na Omani, Yemen na Somalia, upande wa mashariki na Uhindi. Ghuba ya Aden iko upande wa magharibi-kusini na hapa mlangobahari wa Bab el Mandeb ni njia ya kuingia Bahari ya Shamu. Ghuba ya Oman inaunganisha na Ghuba ya Uajemi.

Mpaka wa kusini ni mstari baina ya rasi ya Bara Hindi hadi Rasi Guardafui kwenye Pembe la Afrika.

Mto mkubwa unaoishia humu ni mto Indus.

Visiwa si vingi, ni pamoja na Sokotra (Yemen), Masirah (Omani), Lakshadweep (Uhindi) na Astola (Pakistan).

Tanbihi

Viungo vya Nje

Bahari Ya Kiarabu  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bahari ya Kiarabu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Bahari HindiBara ArabuBara HindiKaskaziniKiarabuKilomita za mrabaKinaMita

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

JoziMizimuSumakuBurundiOrodha ya miji ya TanzaniaMisriUongoziMkoa wa ArushaOrodha ya watu maarufu wa TanzaniaDhamiraPunyetoInsha za hojaWadatogaNgiriKarafuuViunganishiBendera ya KenyaFalme za KiarabuUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaKassim MajaliwaUhifadhi wa fasihi simuliziNomino za pekeeDiamond PlatnumzAlfabetiKaswendeNg'ombeChamaziHaki za binadamuUkongaOrodha ya majimbo ya MarekaniTasifidaNathariTabiaKinembe (anatomia)Mtandao wa kompyutaTarbiaWilaya ya UbungoUbungoAmina ChifupaMagonjwa ya machoMkoa wa RuvumaVipimo asilia vya KiswahiliMazungumzoMhandisiUtoaji mimbaMaambukizi nyemeleziMadawa ya kulevyaUkristoMtandao wa kijamiiAli KibaP. FunkMwanamkeKatekisimu ya Kanisa KatolikiNguzo tano za UislamuAthari za muda mrefu za pombeMkoa wa LindiBendera ya ZanzibarMaarifaAzam F.C.UfilipinoTanganyikaUandishi wa ripotiHeshimaMoshi (mji)AngahewaInjili ya LukaAgano JipyaMashuke (kundinyota)Soko la watumwaMtaalaBiblia ya KikristoVirusi vya Corona🡆 More