Mkarafuu (Syzygium aromaticum) ni mti wa familia Myrtaceae.
Mkarafuu (Syzygium aromaticum) | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mikarafuu | ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Macho ya maua yake yaliyokauka huitwa karafuu na kutumika kwa kiungo katika aina nyingi za chakula. Vikonyo vya maua huitwa makonyo na hutumika kama mbadala rahisi wa karafuu.
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkarafuu kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Mkarafuu, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.