Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Kuna ukurasa unaoitwa "Mti" kwenye Wiki Kiswahili. Angalia pia matokeo mengine ya utafutaji yaliyopatikana.
Mti ni mmea mkubwa wa kudumu wenye shina la ubao. Miti huishi miaka mingi; miti yenye umri mkubwa imejulikana kuwepo kwa miaka 4,800 huko Kalifornia.... |
Mti-kivuli (Acrocarpus fraxinifolius) ni mti mkubwa wa familia Fabaceae. Umepata jina lake kwa sababu hupandwa kama mti wa kivuli kwa mashamba ya mibuni... |
Mti wa Krismasi ni mti unaopambwa ili kuadhimisha Noeli (Krismasi). Desturi hiyo ilianzia katika Ujerumani; kuna ushuhuda kutoka karne ya 15 kuhusu miti... |
na Asia ya Kusini mpaka Malaysia na Uchina Kusini. Mti unaojulikana sana ni mtende wa kawaida na mti huu hupandwa sana katika oasisi za majangwa ya Afrika... |
Mti wa uzima (kwa Kiebrania עֵץ הַֽחַיִּים, Etz haChayim,) ni mfano unaotumiwa na Biblia. Katika kitabu cha Mwanzo, mti wa uzima unapatikana katika mstari... |
Mkungu (Terminalia catappa) ni mti mkubwa unaopandwa sana katika kanda ya tropiki. Asili yake labda ni Asia ya Kusini lakini hii siyo ya hakika. Jozi... |
Mwerezi (elekezo toka kwa Mti wa mwerezi) Mwerezi ni mti wenye historia katika nchi ya Lebanon. Historia ya mwerezi wa Lebanon inaanzia miaka mingi nyuma kabla Yesu [[hajazaliwa, kwa mfano katika... |
Mti wa Uzima (Shajarat-al-Hayat) huko Bahrain una urefu wa mita 9.75 (futi 32) juu Prosopis cineraria mti ambao una zaidi ya miaka 400. Uko kwenye mlima... |
inayofanya gogo na matawi ya mti. Ina matumizi muhimu kwa ujenzi na vifaa pia kama kuni kwa moto. Ubao hutengenezwa na mti wakati wa kukua. Ubao laini... |
Tawi (kwa Kiingereza: branch) ni sehemu ya mti isiyokuwemo katika shina lake. Kulingana na aina ya mti, matawi yake yanaweza na umbo na ukubwa tofauti... |
Uhindi. Vitawi vya miti hii hutumika kama brashi ya meno na huitwa mswaki pia. Majani, maua na matunda ya Salvadora persica Mti wa Dobera sp. Miswaki... |
Gamba ni jalada la wanyama (k.m. samaki, mjusi n.k.) au mti (gome).... |
Mwangati (elekezo toka kwa Mwavuli (mti)) Miangati ni spishi mbalimbali za mti katika jenasi Terminalia ambazo zina majani madogo kuliko mkungu (Terminalia catappa). Inatokea savana na misitu... |
Mkwaju (elekezo toka kwa Msisi (mti)) Mkwaju, msisi au makombe (jina la kisayansi: Tamarindus indica) ni mti mkubwa wa familia Fabaceae ambao asili yake ni Afrika Mashariki na India. Tunda... |
Mbambakofi (elekezo toka kwa Mkola (mti)) (pia mkambakusi, mkongo, mkola, mkora au mtame) (Afzelia quanzensis) ni mti mwenye mbegu nyeusi na nyekundu au rangi ya machungwa ndani ya maganda meusi... |
Mtende ni jina la: Mti (Mtende (mti) Kata katika Mkoa wa Unguja Kusini (Mtende (kata)... |
Gome (kwa Kiingereza: bark) ni gamba la mti: gamba hilo ni kama nguo ya mti inayolinda uhai wake unaotegemea utomvu unaopanda kutoka mizizini kwenda matawini... |
kimo cha kitu fulani, kama vile vazi. Tena ni jina la vifaa mbalimbali: mti wa kufulia nazi, ubao mwembamba wa kushonea mkeka, kifimbo cha kuagulia ambacho... |
Kichaka ni mmea wa kudumu wenye shina la ubao lakini, tofauti na mti, kina mashina zaidi ya moja. Tofauti nyingine ni urefu wake, ilhali vichaka kwa kawaida... |
mrongo, mkimbo au mzunze (Moringa oleifera) ni mti wa jenasi pekee, Moringa, ya familia Moringaceae. Asili ya mti huu ni Uhindi lakini siku hizi hupandwa mahali... |