Mkwaju

Mkwaju, msisi au makombe (jina la kisayansi: Tamarindus indica) ni mti mkubwa wa familia Fabaceae ambao asili yake ni Afrika Mashariki na India.

Mkwaju
(Tamarindus indica)
Mkwaju porini
Mkwaju porini
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Planta (mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Fabales (Mimea kama mharagwe)
Familia: Fabaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mharagwe)
Nusufamilia: Detarioideae
Jenasi: Tamarindus
L.
Spishi: T. indica
L.

Tunda lake huitwa ukwaju ambalo lina umbo jembamba, rangi ya kijani likiwa bichi au ya kaki linapoiva na lina nyama gwadu ilikayo hasa kama kiungo katika vyakula na vinywaji.

Picha

Mkwaju  Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkwaju kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Afrika MasharikiAsiliFabaceaeFamilia (biolojia)IndiaJina la kisayansiMti

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Nabii EliyaMshororoMafua ya kawaidaMaarifaHoma ya matumboWamandinkaOrodha ya wanamuziki wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoKisaweFonolojiaTaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya TanzaniaDhambiKonsonantiRoho MtakatifuRaiaMkoa wa TangaMtiEverest (mlima)MweziPasaka ya KikristoKukiWema SepetuBusaraOrodha ya Marais wa MarekaniNomino za wingiKilimoUgonjwa wa kuharaOrodha ya mikoa ya Tanzania na MaendeleoUnyenyekevuUfahamuTwigaMbooMobutu Sese SekoTajikistanAdolf HitlerYouTubeKumbikumbiPijini na krioliShikamooUsultani wa ZanzibarChuma barani AfrikaMadhehebuAli Hassan MwinyiVivumishiUtendi wa Fumo LiyongoProtiniFani (fasihi)AlfabetiJohn MagufuliHistoria ya WapareDemokrasiaNgono zembeRihannaDhima ya fasihi katika maishaZuchuMbogaMfumo katika sokaWaluguruZodiakiMkoa wa MtwaraMjombaOrodha ya Magavana wa TanganyikaPemba (kisiwa)JeshiKaswendeOrodha ya milima ya TanzaniaZakaKima (mnyama)NduguWandaliTanzaniaBarack ObamaChristina ShushoViwakilishi vya sifaVielezi vya namna🡆 More