Kusini Kwa Sahara

Kusini kwa Sahara (mara nyingi Kusini mwa Sahara) ni eneo lote la bara la Afrika ambalo liko upande wa kusini wa Jangwa la Sahara.

Kusini Kwa Sahara
Hali ya hewa barani Afrika: Kusini kwa Sahara kwanza kuna Sahel na Pembe la Afrika upande wa kaskazini (njano), halafu savana (kijani kibichi) na misitu ya tropiki (kijani iliyokolea) katika Afrika ya Ikweta, hatimaye jangwa la Kalahari (njano) na hali ya Kimediteranea upande wa kusini (rangi ya zeituni) Kusini mwa Afrika. Namba zinaonyesha tarehe za vifaa vya Zama za chuma kuhusiana na uenezi wa Bantu.

Kulingana na Umoja wa Mataifa, eneo hili linajumuisha nchi zote za Afrika ambazo ziko kusini mwa Sahara. Eneo hili linatofautiana na Afrika Kaskazini, ambayo maeneo yake ni sehemu ya Umoja wa Kiarabu.

Somalia, Djibouti, Comoros na Mauritania kijiografia ziko katika Afrika Kusini mwa Sahara, lakini pia zinahesabiwa kuwa sehemu ya dunia ya Kiarabu.

Sahel ni eneo mpito kati ya Sahara na tropiki ya Sudan na kusini zaidi, kwenye misitu ya tropiki-savana.

Kusini Kwa Sahara Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kusini kwa Sahara kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

AfrikaBaraJangwa la SaharaKusini

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MchwaSayansi ya jamiiInsha za hojaVielezi vya namnaMiundombinuJulius NyerereKifaruFananiNafsiMaumivu ya kiunoKarafuuMohammed Gulam DewjiTabataTawahudiMajigamboHaki za watotoMkoa wa TangaMarekaniSakramentiUjerumaniMohamed HusseinMkoa wa TaboraUbaleheUfugaji wa kukuAntibiotikiMkoa wa ManyaraUjimaAthari za muda mrefu za pombeUKUTAMavaziNuktambiliMbogaMkoa wa LindiNguzo tano za UislamuHussein Ali MwinyiTafakuriWanyakyusaMasafa ya mawimbiMichezoUrusiMbeyaMaktabaSiasaUnyevuangaUkooBaraImaniAgano la KaleAustraliaWema SepetuLiverpool F.C.Uandishi wa inshaKipazasautiSexSanaaMkoa wa Unguja Mjini MagharibiNyati wa AfrikaMapinduzi ya ZanzibarMethaliMatumizi ya lugha ya KiswahiliBiashara ya watumwaViwakilishi vya kumilikiSimbaHalmashauriSah'lomonKiolwa cha anganiDodoma (mji)NominoBenjamin MkapaVivumishi vya urejeshiMagonjwa ya kukuAlomofuHistoria ya Afrika🡆 More