Rangi ya manjano, manjano kwa kifupi au njano ni rangi inayofanana na ile ya unga wa manjano.
Ni rangi ya matunda mabivu kadhaa, kama vile chungwa (aina njano), papai, embe, ndizi n.k.
Ni mojawapo ya rangi zitumikazo kwa kazi mbalimbali kama katika kuchora michoro mbalimbali na kadhalika.
Michoro hiyo inaweza kuwa ya kitu chochote kama vile: wanyama, wadudu, watu, mimea na hata vitu visivyo na uhai kama vile mawe, majengo n.k.
Hivi vyote katika kuvichora unaweza kutumia rangi mbalimbali kama rangi ya njano, kijani, nyekundu, bluu, zambarau, kahawia na rangi nyinginezo.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Rangi ya manjano, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.