L

L ni herufi ya 12 katika alfabeti ya Kilatini ambayo ni pia mwandiko wa Kiswahili cha kisasa.

Alfabeti ya Kilatini
(kwa matumizi ya Kiswahili)
Aa Bb Cc ch Dd
Ee Ff Gg Hh Ii Jj
Kk Ll Mm Nn Oo Pp
Qq Rr Ss Tt Uu Vv
Ww Xx Yy Zz

Asili yake ni Lambda ya alfabeti ya Kigiriki.

Maana za L

Historia ya L

Kisemiti asilia
Fimbo la kuchungia ng'ombe
Kifinisia
Lamed
Kigiriki
Lambda
Kietruski
L
Kilatini
L
L  L  L  L  L 

Asili ya alama ni picha andishi iliyoonyesha fimbo la kuchungia ng'ombe. Wafinisia walirahisihsa alama hiyo na kuiita kwa neno lao la fimbo hili "lamed". Wakaitumia kama alama ya sauti "l". Wagiriki wa Kale wakaipokea kama "Lambda" na kubadilisha umbo lake kuwa kama paa ya nyumba.

Waetruski walipendelea umbo la kifinisia kwa kuiandika kama alama ya sauti "l". Waroma wa Kale wakageuza alama na kunyosha mikono yake kuwa L jinsi iliovyo hadi leo.

L  Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu L kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Alfabeti ya KigirikiAlfabeti ya KilatiniKiswahili

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

LatitudoJinaMaambukizi ya njia za mkojoUchumiAfrika KusiniKinjikitile NgwaleEe Mungu Nguvu YetuVivumishi vya -a unganifuNdoa katika UislamuNdovuMatumizi ya lugha ya KiswahiliMkoa wa RukwaWilaya ya ArumeruKishazi huruMatumizi ya LughaNomino za jumlaZama za MaweSaidi NtibazonkizaPichaRohoKidole cha kati cha kandoNileStephane Aziz KiMhandisiUtandawaziMofimuGhuba ya UajemiNamba za simu TanzaniaIyumbu (Dodoma mjini)NafsiMfumo wa upumuajiRayvannySanaaTanganyika (ziwa)Zama za ChumaMkoa wa KilimanjaroHoma ya mafuaVasco da GamaMvuaMuundoMajira ya mvuaLady Jay DeeSarufiWhatsAppUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaStafeliMlongeUfalme wa MuunganoDamuNamba ya mnyamaAbedi Amani KarumeTabianchiNgeliFasihi andishiHakiMobutu Sese SekoHistoria ya AfrikaHistoria ya UislamuAdhuhuriWilaya ya KinondoniFasihi simuliziOrodha ya miji ya TanzaniaMuundo wa inshaAina za ufahamuNusuirabuFacebookTanganyika African National UnionUtamaduniRupie ya Afrika ya Mashariki ya Kijerumani🡆 More