Wahan

Wahan (kwa Kiing.

92% za watu wa China ni Wahan, kwa jumla ni bilioni 1.4. Kati ya watu wote duniani, 19% ni Wachina wa Han. Wachina wa Han wana viwango vya juu zaidi katika Mikoa ya Mashariki ya China, haswa katika mikoa ya Hebei, Jiangsu na Guangdong. Kuna milioni kumi kadhaa za Wahan nje ya China yenyewe, wengi wao wanaishi Asia ya Kusini-Mashariki.

Wahan
Mume na mke wa Kihan wakiwa wamevaa nguo za kiutamaduni.

Asili ya Wahan walikuwa makabila katika kaskazini ya nchi yaliyolima kwenye maeneo ya Mto Njano. Makabila hayo yalikuwa pia msingi wa milki za nasaba za kwanza.

Makabila ya Wahan yaliendelea kuenea katika China ya Kusini kwa njia ya walowezi waliotafuta mashamba mapya na uvamizi wa kijeshi. Makabila mengi ambayo hayakuwa Wahan kiasili yalipokea utamaduni na lugha ya Wahan.

Jina la "Wahan" lilianza kutumiwa wakati wa nasaba ya Han.

Marejeo

Viungo vya Nje

Tags:

Asia ya Kusini-MasharikiAsia ya MasharikiAsiliAsilimiaBilioniDuniaGuangdongHebeiJamhuri ya Watu wa ChinaJiangsuKiingerezaMkoa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Ngw'anamalundiViwakilishi vya idadiWhatsAppJanuary MakambaDiraUislamuOrodha ya Marais wa ZanzibarMaadiliFiston MayeleFonetikiMaliasiliNafsiAgano JipyaUzalendoMkoa wa ManyaraNomino za dhahaniaUandishi wa barua ya simuKifua kikuuMkanda wa jeshiVivumishi vya idadiRayvannyVivumishi vya kuoneshaBendera ya KenyaMbogaEe Mungu Nguvu YetuSautiDNAWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiKiraiFatma KarumeKishazi tegemeziKomaShukuru KawambwaWanyaturuRejistaLimauNyanya chunguKampuni ya Huduma za MeliBaruaMaambukizi ya njia za mkojoMajeshi ya Ulinzi ya KenyaPemba (kisiwa)Ufahamu wa uwezo wa kushika mimbaMwanaumeKiingerezaIsraeli ya KaleAntibiotikiMkoa wa KageraSildenafilIdi AminSongea (mji)Fran BentleyUkooSadakaInsha ya wasifuKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniDuniaOrodha ya Marais wa NamibiaMkoa wa MaraHistoria ya ZanzibarMbuga wa safariUpendoKataJoyce Lazaro NdalichakoKapteniMohamed HusseinChama cha Kijamaa-Kidemokrasia cha UjerumaniVichekeshoMnyamaTungoIsraelLahajaMkoa wa Dar es SalaamMnyoo-matumbo MkubwaSamia Suluhu Hassan🡆 More