Dini Rasmi

Dini rasmi ni dini ambayo imetangazwa na nchi fulani kuwa yake kwa namna ya pekee.

Kiasi ambacho dini hiyo inapata sapoti ya sheria, serikali n.k. inategemea kwa kawaida katiba ya nchi.

Si lazima serikali iwe chini ya mamlaka ya dini hiyo, wala kufuata masharti yake yote, wala kwamba uongozi wa dini uwe chini ya serikali au kwamba serikali iwe chini ya viongozi wa dini.

Historia

Dini rasmi zilikuwepo tangu zamani, kwa mfano Mashariki ya Kati tangu karne za K.K., na hata kabla ya historia inayoshuhudiwa na maandishi.

Uhusiano kati ya dini na mamlaka ya kisiasa ulijadiliwa na Marcus Terentius Varro (116 KK27 KK) kwa jina la theologia civilis ("teolojia ya uraia").

Upande wa Ukristo, kwa mara ya kwanza ulipata kuwa dini rasmi nchini Armenia mwaka 301.

Dini rasmi leo

Dini Rasmi 
Nchi zenye dini rasmi.
     Ukristo        Uislamu        Ubuddha
Dini Rasmi 
Nchi zenye dini rasmi (kinaganaga).
     Ukristo      Kanisa Katoliki      Kanisa la Kiorthodoksi      Walutheri      Anglikana      Ukalvini      Umethodisti           Uislamu      Uislamu wa Kisuni      Uislamu wa Kishia      Uislamu wa Kiibadi         Ubuddha wa Theravada      Ubuddha wa Vajrayana

Katika nchi nyingi tumezoea kwamba serikali haina dini. Kila mwananchi ni huru kuchagua imani yake. Kumbe wazo hilo si la kawaida popote duniani.

Mpaka leo tunasikia habari za nchi zinazotoa kipaumbele kwa dini au madhehebu fulani upande wa serikali. Kule Uingereza mfalme au malkia anapaswa kuwa Mkristo wa Kianglikana naye ni mlezi mkuu wa Kanisa la Kianglikana. Kule Denmark na Sweden wafalme wanapaswa kuwa Wakristo wa Kilutheri. Katika nchi nyingi za Waarabu Rais awe Mwislamu wa madhehebu ya Sunni. Kule Iran Rais huchaguliwa kati ya wataalamu Waislamu wa madhehebu ya Shia. Taratibu hizo ni mabaki ya utaratibu ambao miaka 200 iliyopita ulikuwa kawaida katika sehemu nyingi za dunia.

Kwa sasa, dini rasmi katika nchi tofautitofauti ni Ukristo, Uislamu na Ubuddha. Suala la haki za Uyahudi nchini Israeli ni la pekee.

Nchi za Kikristo

Zifuatazo ni nchi zinazokubali rasmi madhehebu fulani ya Ukristo:

Kanisa Katoliki

    Nyingine

Nchi hizo pengine zinalipatia Kanisa Katoliki fadhili fulani bila kulifanya dini rasmi.

Makanisa ya Kiorthodoksi

Uprotestanti

Anglikana
Ulutheri
Wareformati

Nchi za Kiislamu

Nchi nyingi ambako wananchi wengi ni Waislamu zimefanya dini yao kuwa rasmi, hata kukataza nyingine.

Islam (bila madhehebu maalumu)

Uislamu wa Kisuni

Uislamu wa Shiʾa

Uislamu wa Ibadi

Shia na Sunni pamoja

Nchi za Kibuddha

Theravada

Vajrayana

Uyahudi

Tanbihi

Marejeo

  • Rowlands, John Henry Lewis (1989). Church, State, and Society, 1827-1845: the Attitudes of John Keble, Richard Hurrell Froude, and John Henry Newman. Worthing, Eng.: P. Smith [of] Churchman Publishing; Folkestone, Eng.: distr. ... by Bailey Book Distribution. ISBN 1-85093-132-1

Viungo vya nje

Dini Rasmi  Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Dini Rasmi HistoriaDini Rasmi Dini rasmi leoDini Rasmi TanbihiDini Rasmi MarejeoDini Rasmi Viungo vya njeDini RasmiDiniKatibaNchiSerikaliSheria

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

BiolojiaMunguMilanoUkooMtakatifu MarkoWilaya ya TemekeMbuga za Taifa la TanzaniaBungeUshairiUzazi wa mpango kwa njia asiliaApril JacksonSaida KaroliKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniSumakuMartin LutherPaul MakondaMkoa wa LindiUwanja wa Taifa (Tanzania)Mwenge wa UhuruBenjamin MkapaBaraBahashaVisakaleClatous ChamaWizara ya Mifugo na UvuviUkatiliMungu ibariki AfrikaMbeyaRisalaMkoa wa RukwaTafakuriMziziSimu za mikononiMkoa wa KilimanjaroUajemiMfumo wa JuaStephane Aziz KiMillard AyoBaruaVirusi vya CoronaVasco da GamaKanisa KatolikiBahari ya HindiWikipediaMpira wa miguuZabibuLionel MessiSayansi ya jamiiChristopher MtikilaTovutiYoung Africans S.C.Historia ya uandishi wa QuraniSwalaPasakaVivumishiKifua kikuuOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaKilimoMshororoMusaMadiniZuchuUtumbo mwembambaNgw'anamalundiMkunduMapambano ya uhuru TanganyikaKamusi ya Kiswahili sanifuOrodha ya Marais wa KenyaUkristo barani AfrikaTarbiaNenoShengVitenzi vishirikishi vikamilifuImaniAla ya muziki🡆 More