Bethlehemu

Betlehemu (kwa Kiarabu بيت لحم, Beit Lahm) maana yake ni Nyumba ya mkate (kutoka Kiebrania בית לחם, ambapo בית = nyumba na לחם = mkate) ni mji wa Palestina, maarufu hasa kama mahali alipozaliwa Yesu Kristo kadiri ya Injili ya Mathayo na Luka.

Bethlehemu
Mandhari ya Bethlehemu.
Bethlehemu
Kanisa la Kuzaliwa kwa Yesu mjini Bethlehemu

Kadiri ya Mathayo, ndivyo ulivyotimia utabiri wa kitabu cha Mika 5:1.

Mapokeo yanataja mahali hapo katika Kanisa la Kuzaliwa lililojengwa mnamo mwaka 330 kwa amri ya Kaizari Konstantino.

Bethlehemu iko kilometa 10 hivi kusini kwa Yerusalemu, mita 765 juu ya usawa wa bahari. Kwa sasa ina wakazi zaidi ya 25,000 ambao wanategemea hasa utalii.

Historia

Inakadiriwa kuwa Bethlehemu ilianzishwa miaka 1,400 KK.

Kadiri ya Biblia, Bethlehemu ndio mji asili wa Daudi, mfalme wa pili wa Israeli na babu wa Yesu katika mfululizo wa vizazi vingi.

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Bethlehemu 
Wiki Commons ina media kuhusu:
Bethlehemu  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bethlehemu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Bethlehemu HistoriaBethlehemu TanbihiBethlehemu MarejeoBethlehemu Viungo vya njeBethlehemuInjiliInjili ya LukaInjili ya MathayoKiarabuKiebraniaMjiMkateNyumbaPalestinaYesu Kristo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Vita vya KageraOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaKanga (ndege)Mlima wa MezaUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiNileOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoUkooMtakatifu PauloEthiopiaOrodha ya viongoziWilaya ya NyamaganaIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)Wanyama wa nyumbaniMkoa wa MorogoroOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaElimuUyahudiMfumo katika sokaHerufiSiasaLakabuNdiziAli KibaDoto Mashaka BitekoAmri KumiPijiniAVivumishi vya sifaMajira ya mvuaInjili ya MarkoVihisishiSamakiMnururishoSayariVirusi vya UKIMWIStadi za maishaMsamiatiSikioLady Jay DeeHifadhi ya mazingiraMaktabaUkimwiMapinduzi ya ZanzibarRadiPamboMtandao wa kompyutaVisakaleCleopa David MsuyaOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaBungeLuhaga Joelson MpinaMkoa wa NjombeLahajaHadithiLigi Kuu Tanzania BaraNomino za jumlaDiamond PlatnumzKiingerezaSaratani ya mlango wa kizaziUenezi wa KiswahiliMawasilianoSarufiKata za Mkoa wa Morogoro25 ApriliOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuMkoa wa Unguja Mjini MagharibiMzeituniVivumishi vya -a unganifuMbogaKumaDawatiMwakaUkabailaRose MhandoDaktariZuchu🡆 More