Kilomita

Kilomita (pia: kilometa) ni kipimo cha urefu.

Kinamaanisha urefu wa mita 1,000. Kifupi chake ni km.

Kilomita
Ufafanuzi wa awali wa kilomita

Kilomita ni kipimo cha kawaida katika maisha ya kila siku cha kupimia umbali usio karibu. Umbali kati ya miji hupimwa kwa kilomita.

Kilomita ni sehemu ya vipimo vya SI vyenye msingi wa mita.

Katika nchi mbalimbali kilomita imechukua nafasi ya vipimo vingine kama maili au verst.

Kwa umbali mkubwa mno kama kwa vipimo vya astronomia kilomita haifai tena. Hapo kuna vipimo vingine. Kwa mfano umbali kati ya mwezi na dunia inaweza kutajwa kwa kilomita ni lakhi tatu au km 300,000. Umbali kati ya Dunia na Jua ni km 150,000,000 na kwa umbali huo kizio cha kizio astronomia hutumiwa. Lakini umbali kutoka jua letu hadi nyota nyingine ni mkubwa mno. Hapa vipimo kama mwakanuru au pia parsek hutumiwa.

Tags:

KifupiKipimoMitaUrefu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

ShengFasihi simuliziWizara za Serikali ya TanzaniaMuzikiVirusi vya UKIMWIStadi za lughaRwandaDubuInsha zisizo za kisanaaIsraeli ya KaleShabuMbadili jinsiaUgonjwa wa malaleMnyoo-matumbo MkubwaTafsidaHoma ya mafuaVita vya KageraJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoUrenoNominoDodoma MakuluSahara ya MagharibiWanyaturuMazungumzoMohamed HusseinMimba kuharibikaHistoria ya IranWaluoRisalaIdi AminKitenzi kishirikishiTanzaniaAfrika ya Mashariki ya KijerumaniNandyKamusi ya Kiswahili - KiingerezaKiunguliaSanaaAli KibaOrodha ya nchi kufuatana na wakaziHistoria ya Kanisa KatolikiMkoa wa MwanzaTashihisiMauaji ya kimbari ya RwandaNafsiNathariSemantikiHussein KaziOrodha ya volkeno nchini TanzaniaKibodiKamusi ya Kiswahili sanifuSentensiUtamaduniNyaniVielezi vya mahaliJokate MwegeloLigi ya Mabingwa AfrikaHistoria ya KiswahiliMlongeViganoMatiniWazaramoWahayaUbepariMichael JacksonWabondeiKenyaMilaLionel MessiUkimwiMjombaKifaaKisaweLakabu🡆 More