Barbadosi

Barbadosi ni nchi ya kisiwani katika Bahari ya Karibi takriban 430 km kaskazini - mashariki kwa Venezuela (Amerika Kusini).

Barbadosi

Nchi jirani za karibu kuvukia bahari ni Saint Lucia na Saint Vincent upande wa magharibi, Trinidad na Tobago upande wa kusini na Grenada upande wa kusini-magharibi.

Barbados ni kisiwa cha Antili Ndogo. Kwa urefu kinafikia km 34 na kwa upana 23.

Wakazi ni 277,821, na kwa asilimia 91 wana asili ya Afrika, 4% ya Ulaya, 1% ya India.

Lugha rasmi ni Kiingereza, ingawa wakazi wengi kabisa wanaongea kwa kawaida aina ya Krioli inayoitwa Kibajan.

Upande wa dini, 75.6% ni Wakristo, hasa Waanglikana (23.9%) na Wapentekoste (19.5%). Dini nyingine kwa pamoja zinafikia 3%, kwa kuwa 21% hawana dini yoyote.

Tazama pia

Barbadosi  Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Barbadosi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Amerika KusiniBahari ya KaribiKaskaziniKmMasharikiNchi ya kisiwaniVenezuela

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

AlomofuMkoa wa ManyaraBahashaNgono zembeMafarisayoInsha ya wasifuFonolojiaNdiziLahajaHomoniWakaguruNgiriUNICEFMohamed HusseiniNduniDhamiraMaji kujaa na kupwaNomino za pekeeBinadamuMikoa ya TanzaniaVieleziWairaqwUyahudiWazigulaHistoria ya uandishi wa QuraniNyangumiIniMishipa ya damuSkeliJamiiViungo vinavyosafisha mwiliIsimilaElimu ya bahariMfumo wa upumuajiSimba (kundinyota)WagogoBaraza la mawaziri TanzaniaLongitudoTungo kiraiMillard AyoTawahudiOrodha ya nchi kufuatana na wakaziOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaTabataOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoUkabailaUundaji wa manenoTendo la ndoaMkoa wa TangaYombo Vituka24 ApriliMuungano wa Madola ya AfrikaUzazi wa mpangoDuniaNileNandyVokaliRitifaaUtumwaMachweoMohamed HusseinPichaBenjamin MkapaMkoa wa RukwaZama za MaweGongolambotoUtamaduni wa KitanzaniaMunguGhuba ya UajemiTamathali za semiAngahewaDamuKongoshoNg'ombe🡆 More