Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Amerika ya Kusini ni bara la magharibi ambalo kwa kiasi kikubwa sana linaenea upande wa kusini wa Ikweta. Inapakana na Bahari ya Pasifiki upande wa Magharibi... |
au mbili, yaani ama Amerika Kaskazini Amerika ya Kati na Amerika Kusini ama Amerika Kaskazini na Amerika Kusini pekee. Hesabu ya pande tatu inalingana... |
Bamba la Amerika ya Kusini ni moja ya mabamba ya gandunia ya dunia yetu. Lipo chini ya bara la Amerika ya Kusini na chini ya sehemu kubwa za bahari Atlantiki... |
Firenze (Italia). Tangu mwaka 1499 alisafiri kwenye pwani za Amerika ya Kusini na Amerika ya Kati akaandika kitabu juu ya safari zake. Humo aliandika ya... |
Kordilera ya Amerika ni mlolongo wa safu za milima kunjamano unaopita katika Amerika Kaskazini hadi Amerika Kusini upande wa magharibi kufuatana na pwani... |
Mnamo mwaka wa 2009, viwango vya maambukizi ya VVU / UKIMWI huko Amerika Kusini vinatofautiana kutoka 0.20% huko Bolivia hadi 1.50% huko Trinidad na Tobago... |
Amerika ya Kati ni eneo upande wa kusini ya Marekani au Meksiko (taz. chini) na upande wa kaskazini ya Kolombia. Kijiografia katika hesabu ya kawaida ya... |
Kuna tofauti kuhusu ya namna ya kutaja nchi za Amerika ya Kilatini. Mara nyingi Amerika ya Kusini, Amerika ya Kati na Meksiko hutajwa hivyo kwa jumla. Lakini... |
iko kwenye nusutufe ya kusini. Kati ya mabara ni Antaktiki na Australia nzima, asilimia 90 za Amerika Kusini na theluthi ya kusini ya Afrika yaliyopo kwenye... |
Copa Amerika (Kihispania: Copa America, zamani hadi 1975 Mashindano ya Mataifa ya Amerika Kusini) ni mashindano ya kandanda ambayo ni shindano kuu la... |
Andes (Kusanyiko Mbegu za jiografia ya Amerika Kusini) Amerika Kusini upande wa magharibi wa bara hili, ikiongozana na mstari wa pwani ya Pasifiki kutoka Kolombia katika kaskazini hadi Chile katika kusini... |
Bolivia (Kusanyiko Amerika Kusini) na shujaa Simon Bolivar) ni nchi isiyo na mwambao wa bahari katika Amerika Kusini. Imepakana na Brazil, Paraguay, Argentina, Chile na Peru. Nchi inakatwa... |
Peru (Kusanyiko Amerika Kusini) Peru (pia Peruu) ni nchi ya Amerika Kusini upande wa magharibi ya bara. Imepakana na Ekuador, Kolombia, Brazil, Bolivia na Chile. Kuna mwambao wa Pasifiki... |
Argentina (Kusanyiko Amerika Kusini) Argentina ni nchi kubwa ya pili ya Amerika Kusini. Ina eneo la km² 2,780,400 kati ya milima ya Andes upande wa magharibi na Bahari ya Atlantiki upande... |
Kolombia (Kusanyiko Amerika Kusini) Kihispania: República de Colombia) ni nchi kwenye pembe la kaskazini la Amerika ya Kusini. Imepakana na Venezuela, Brazil, Ekuador, Peru na Panama. Ina pwani... |
Atlantiki. Upande wa kusini linakutana na mabamba madogo ya Karibi na Cocos. Mpaka wa magharibi hufuata mstari wa pwani la Amerika ya Kaskazini kwa kupakana... |
Guyani ya Kifaransa (Kusanyiko Amerika Kusini) eneo la ng'ambo la Ufaransa ("département d'outre-mer" au DOM) katika Amerika Kusini. Makao makuu ya Guyana ni mji wa Kayeni. Imepakana na Brazil na Surinam... |
Uruguay (Kusanyiko Amerika Kusini) Uruguay ni nchi ya Amerika Kusini upande wa mashariki ya bara kando ya Atlantiki. Uruguay ni kati ya nchi ndogo kabisa za Amerika Kusini pamoja na Surinam... |
hasa kusini ya mabara ya Afrika na Amerika ya Kusini. Atlantiki inafunika sehemu za mabamba ya gandunia ya Amerika ya Kaskazini, Amerika ya Kusini, Karibi... |
na bahari. Kwa kawaida tunatofautisha mabara 7 ya Afrika, Amerika Kaskazini, Amerika Kusini, Antaktiki, Asia, Australia, na Ulaya. Neno "bara" lamaanisha... |