Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Kuna ukurasa unaoitwa "Shairi" kwenye Wiki Kiswahili. Angalia pia matokeo mengine ya utafutaji yaliyopatikana.
Shairi (kwa Kiingereza: poem) ni aina ya fasihi. Mashairi ni tungo zenye kutumia mapigo ya silabi kwa utaratibu maalumu wa kimuziki kwa kutumia lugha ya... |
ufasaha wa maneno machache au muhtasari. Mwauliza wimbo, shairi na tenzi ni nini? Wimbo ni shairi ndogo, ushairi ni wimbo mkubwa na utenzi ni upeo wa ushairi... |
bora. Katika Kiswahili jina hilohilo linaweza pia kutumika kwa mtu aliyeandika kitabu au shairi, lakini pia msanii wa aina nyingine aliyebuni kitu kipya.... |
Tarbia ndiyo aina ya shairi rahisi sana kuandika na waandishi wengi hutumia aina hiyo ya shairi. Ni shairi lenye mishororo minne katika kila ubeti na... |
Ukwapi ni kipande cha kwanza katika mshororo wa shairi, na utao ni kipande cha pili katika mshororo wa shairi. Vipande hivYO mara nyingi hutokea katika mashairi... |
mstari uliopo ndani ya beti za shairi. Idadi ya mishororo katika shairi ndio hutumika katika kutambua na kujua aina ya shairi. Kanuni hiyo hutumika sana katika... |
Hominide; shairi, FZA Verlag, Vienna 2008, ISBN 978-3-9502299-7-4 Auf der Kippe ; shairi, Arovell Verlag, Gosau 2008, ISBN 978-3-902547-67-5 Lose ; shairi, Edition... |
Shairi lake la kwanza kutunga lilikuwa linaitwa Nazitaka Mbichi Hizi ikiwa ni majibu ya shairi la Sizitaki mbichi hizi lakini kwa bahati mbaya shairi... |
Kibwagizo ni mstari wa mwisho katika beti za shairi unaojirudiarudia.... |
alipoandika shairi lake linalojulikana na wengi nchini Tanzania. Shairi hili la beti 44, aliliita, ”Nimeguswa na Upendo wa Yesu.” Shairi la mwisho kabisa... |
ya kazi ya fasihi. Tanzu kuu za fasihi andishi ni: riwaya, tamthiliya, shairi, insha, novela na hadithi fupi. Wamitila, K.W. 2003. Kamusi ya Fasihi: Istilahi... |
Ni shairi refu ambamo anatoa habari za safari yake ya kidhahania huko ahera akipitia jehanamu, toharani hadi paradiso. Ndiyo sehemu tatu za shairi hilo... |
kwenye kisiwa cha Lesbos. Sehemu kubwa ya kazi zake zimepotea. Alitunga shairi juu ya miungu na mapenzi. Nyakati za kale zilikusanywa katika vitabu tisa... |
Kilatini inaitwa "Stabat Mater" ("Mama alisimama"), ambayo ndiyo maneno ya kwanza ya shairi hilo lenye muziki wa huzuni lakini mtamu. Martyrologium Romanum... |
lakini alikata uraia wa Uingereza mwaka wa 1927. Hasa aliandika mashairi. Shairi lake "Nchi Kame" (kwa Kiingereza The Waste Land) lilitolewa mwaka wa 1922... |
Kina katika fasihi ni sauti inayojirudia katika shairi. Vina ni silabi zenye sauti ya namna moja zinazotokea katikati au mwishoni mwa kila mshororo wa... |
mwandishi bora wa Kiingereza baada ya William Shakespeare. Anajulikana sana kwa shairi lake liitwalo Kupotea kwa Paradiso na lingine liitwalo Kurudishwa kwa Paradiso... |
kuonyeshwa kama udadisi. Aliandika shairi mnamo mwaka 1998 wakati akisoma Utrecht University. Umaarufu wa shairi hili unaaminika kuwa unahusika na kurudisha... |
(far. شاهنامه Kitabu cha Wafalme) ni shairi refu lililotungwa na mshairi Mwajemi Ferdowsi. Linatazamwa kuwa shairi la kitaifa la Iran, Afghanistan na Tajikistan... |
Katika shairi ya Homer anaingia kama kiongozi wa kabila la Ugiriki ya Kaskazini, akipita mashujaa wote kwa nguvu na uwezo. Masimulizi ya Shairi ya Iliadi... |