Audax Kahendaguza Vedasto

Audax Kahendaguza Vedasto (alizaliwa Nyakabanga, wilaya ya Karagwe, mkoani Kagera, 21 Agosti 1971) ni mwanasheria msomi aliyejikita katika tasnia ya uandishi wa vitabu vya sheria na diwani za mashairi.

Kama ilivyo kwa washairi wengine, Audax hujulikana kwa lakabu ya ushairi kama "Mwana wa Kahenda".

Elimu

Mwana wa Kahenda alianza masomo yake katika shule ya msingi Nyakabanga mwaka 1980 na kuhitimu mwaka 1986 ambapo mwaka 1987 alijiunga na masomo ya secondary katika shule ya upili ya Kahororo,na mwaka 1991 aliendelea mbele zaidi na kujiunga na elimu ya juu secondary katika shule ya Milambo akichukua masomo ya lugha,Kiswahili kingereza na kifaransa na kumaliza mwaka 1993 na kuvunja rekodi ya kuongoza kitaifa katika matokeo hayo kitaifa.

Mwaka 1993 alijiunga na mafunzo ya kijeshi katika jeshi la kujenga taifa katika kambi ya JKT Oljoro iliyopo mkoani Arusha

Ushairi

Safari yake ya ushairi ilianza mwaka 1983 akiwa mwanafunzi wa darasa la nne kilichomvutia zaidi kuingia katika tasnia ya ushairi ni kupendelea kusoma vitabu huku shairi lililomvutia zaidi na kujikuta anazama katika ulimwengu wa ushairi ni shairi la Sizitaki Mbichi Hizi, moja kati ya mashairi maarufu Tanzania.

Shairi lake la kwanza kutunga lilikuwa linaitwa Nazitaka Mbichi Hizi ikiwa ni majibu ya shairi la Sizitaki mbichi hizi lakini kwa bahati mbaya shairi hilo lilipotea katika ajali ya meli ya MV Bukoba.

Uandishi wa vitabu

Mbali na sheria, Audax Kahendaguza Vedasto ameandika diwani mbili hadi sasa, ya kwanza mwaka 2009 na inajulikana kama Mwanangu Nakuusia ukiwa ni utenzi, na diwani ya pili ilitoka mwaka 2010 kinakwenda kwa jina la Chopikwa Kikapikika .

Tanbihi

Audax Kahendaguza Vedasto  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Audax Kahendaguza Vedasto kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Audax Kahendaguza Vedasto ElimuAudax Kahendaguza Vedasto UshairiAudax Kahendaguza Vedasto Uandishi wa vitabuAudax Kahendaguza Vedasto TanbihiAudax Kahendaguza Vedasto197121 AgostiDiwaniKageraMashairiMikoa ya TanzaniaMwanasheriaNyakabangaSheriaUandishiVitabuWilaya ya Karagwe

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mikoa ya TanzaniaKondomu ya kikeMaigizoHistoria ya WokovuUnyakuoDuniaHadithiUfeministiMnururishoLahajaUhindiMichael JacksonUtoaji mimbaFasihi simuliziOrodha ya nchi kufuatana na wakaziHistoria ya uandishi wa QuraniWikipediaYoung Africans S.C.TawahudiMapenziOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaUtafitiKiingerezaRita wa CasciaUundaji wa manenoUmoja wa MataifaKipandausoSomalilandUzazi wa mpangoNyweleWanyaturuOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaMkoa wa KigomaWilaya ya IlalaKiswahiliBabeliMethaliMwongoSemantikiHekalu la YerusalemuUkristoNomino za dhahaniaBahari ya HindiWarangiMichezo ya watotoHistoria ya ZanzibarUbongoMarthe Solange Achy BrouHistoria ya TanzaniaSteve MweusiHifadhi ya mazingiraKaswendeDubuPombeOrodha ya visiwa vya TanzaniaKifo cha YesuSimba S.C.Orodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaMafua ya kawaidaUrusiMaajabu ya duniaWaluguruVieleziVideoKupatwa kwa JuaShairiAlama ya uakifishajiLucky DubeMagadi (kemikali)Twiga🡆 More