Baikal

Ziwa Baikal (kwa Kirusi: Озеро Байкал = Osero Baykal) ni ziwa kubwa katika Siberia kwenye sehemu ya Kiasia ya Urusi.

Baikal ni gimba kubwa la maji matamu duniani.

Baikal
Ramani ya Baikal.
Baikal
Ziwa la Baikal.
Baikal
Samaki ya Omul sokoni.

Urefu wake ni km 636; upana km 20–80 na kina kirefu ni mita 1,600. Hakuna miji mikubwa kando ya ziwa lakini Irkutsk ni km 60 kutoka ziwani.

Ziwa hilo lina tabia za pekee. Aina 1600 kati ya aina 2,500 za wanyama na mimea za ziwa zinapatikana hapa tu. Nerpa ya Baikal ni sili ya pekee katika maji matamu; samaki ya Omul hupatikana hapa tu.

Baikal Makala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Baikal kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

AsiaDunianiKirusiMaji matamuSiberiaUrusiZiwa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Madhara ya kuvuta sigaraViunganishiBaraza la mawaziri TanzaniaNominoUgandaSanaa za maoneshoKonsonantiWapareWasukumaOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaNyangumiLiverpoolBungeChumba cha Mtoano (2010)PumuWahaWanyamaporiWilaya ya Nzega VijijiniVidonge vya majiraMofimuAzimio la ArushaMkoa wa SingidaOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaMauaji ya kimbari ya RwandaPasakaHerufiJay MelodyMsamiatiMapambano ya uhuru TanganyikaBendera ya TanzaniaMbeya (mji)MbeyaVirusi vya UKIMWIVielezi vya idadiMahindiWilaya ya ArushaMishipa ya damuMjombaTamthiliaBikira MariaMvuaHisiaFalsafaShahawaDawatiDhamiraBloguTarafaBiashara ya watumwaBidiiMkoa wa DodomaUkatiliMaajabu ya duniaJakaya KikweteMikoa ya TanzaniaKifaruMizimuRitifaaCleopa David MsuyaFani (fasihi)Tanganyika (maana)NathariJokate MwegeloSiriSaratani ya mlango wa kizaziUmoja wa AfrikaMaji kujaa na kupwaMkutano wa Berlin wa 1885PasifikiUkristo nchini Tanzania🡆 More