Milki Ya Wamongolia

Milki ya Wamongolia ilikuwa eneo lililotawaliwa na (khans) wa Mongolia kuu kunako karne ya 13 na 14.

Hili lilikuwa moja kati ya milki kubwa sana katika historia ya umiliki wa ardhi.

Milki Ya Wamongolia
Upanuzi wa Milki ya Mongolia

Uenezi

Nyumbani halisi kwa Wamongolia, ilikuwa imepakana na Milima ya Khingan kwa upande wa mashariki, Milima Altai na Tian kwa upande wa magharibi, Mto Shilka na safu za milima na [Ziwa Baikal]] kwa upande wa kaskazini, na Ukuta Mkubwa wa China kwa upande wa kusini.

Milki hii ilianzishwa na Genghis Khan mnamo 1207 BK pale alipoyaleta pamoja makabila ya Mongolia. Akaja kufa mnamo 1227 BK. Baadaye Kublai Khan akaendeleza kupanua milki hii akakuta Nasaba ya Yuan iliotawaliwa na Wamongolia huko China. Baadaye ikaja kupagalanyika katika milki tofauti, na zote katika hizo ziliangamizwa.

Wakati nguvu ya milki za Wamongolia ilikuwa imepungua tayari, Tamerlan (Timur), aliyetoka katika ukoo wa Kimongolia uliopokea Uislamu, aliunda milki mpya kati ya Uhindi ya magharibi, Asia ya Kati na Syria ya mashariki.

Viungo vya Nje

Milki Ya Wamongolia 
WikiMedia Commons
Milki Ya Wamongolia  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Milki ya Wamongolia kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

ArdhiHistoriaKarne ya 13Karne ya 14MilkiMongolia

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

UkooViwakilishi vya -a unganifuSaratani ya mlango wa kizaziKonsonantiUhakiki wa fasihi simuliziSerikaliBendera ya TanzaniaUchawiLiberiaLenziBinamuUnyevuangaWaluhyaNominoMfumo katika sokaAndalio la somoUtumbo mpanaBongo FlavaDamuKitomeoKuchaThrombosi ya kina cha mishipaOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaDayolojiaBunge la Umoja wa AfrikaTanganyika African National UnionTanzaniaMfumo wa upumuajiYouTubeSwalahAfrika KusiniPasaka ya KiyahudiUtamaduni wa KitanzaniaProtiniSomaliaLilithWikiUtendi wa Fumo LiyongoBarua pepeNembo ya TanzaniaKumamoto, KumamotoMariooMagonjwa ya machoNahauLugha ya kigeniUchambuzi wa SWOTMwaniKarne ya 20KaswendeShabaniPopoMalipoJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoRayvannyMbonoSentensiUsanisinuruUsultani wa ZanzibarSumbawanga (mji)KihusishiBikira MariaChemchemiShinikizo la ndani ya fuvuKunguniAgano la KaleMsengeUtamaduniMbeya (mji)MilaBustani ya EdeniAzimio la ArushaWapareMkoa wa IringaWasukumaHadhiraHaki🡆 More