Alfabeti

Alfabeti ni kiasi cha alama zinazotumiwa kuandika sauti za lugha fulani.

Alama hizi hupatikana kama orodha kwa ufuatano uliokubaliwa, kwa mfano katika Kiswahili: "a, b, ch, d, dh, e, f, g, gh, h, i, j, k, kh, l, m, n, ny, ng', o, p, r, s, sh, u, t, th, v,w, y, z".

Alfabeti
Mifumo ya mwandishi duniani
Alfabeti:  Kilatini ,  Kikirili ,  Kilatini pamoja na Kikirili ,  Kigiriki ,  Kigeorgia na Kiarmenia 
Abjadi:  Kiarabu ,  Kiarabu pamoja na Kilatini ,  Kiebrania pamoja na Kiarabu 
Abugida:  Kihindi ya Kaskazini ,  Kihindi ya Kusini ,  Kiethiopia ,  Kithaana   Mwandiko wa kizalendo wa Kanada ,
Alama kwa neno lote na alama za silabi:  Alama za neno lote ,  Mchanganyiko wa alama za maneno na silabi ,  Mchanganyiko alfabeti na silabi   Mchanganyiko alfabeti na silabi 

Jina la "alfabeti" hutokana na mwandiko wa Kigiriki ambamo herufi mbili za kwanza ni α "alfa" na β "beta".

Alfabeti ni mtindo wa mwandiko uliosambaa duniani kote. Kwa lugha nyingi imechukua nafasi ya miandiko ya awali.

Alfabeti huonyesha sauti si maneno kamili - hii ni tofauti na mwandiko kama Kichina wenye alama kwa ajili ya neno lote.

Mifano ya Alfabeti

Alfabeti inayotumiwa zaidi kimataifa ni alfabeti ya Kilatini (au "alfabeti ya Kirumi"). Lakini kuna alfabeti nyingine kadhaa zinazojulikana kimataifa kama vile:

Mengine ni alfabeti kama vile ya Kikopti, ya Kigeorgia, ya Kiarmenia n.k.

Abugida

Aina za pekee za alfabeti ni miandiko ya "abugida". Hii inamaanisha namna ya kuandika ambako hakuna alama za pekee kwa ajili ya vokali. Kila alama ya konsonanti ina namna mbalimbali ya kuonekana kwa kuongeza alama ndogo inayoonyesha ni vokali ipi inayofuata. Mifano yake ni

  • Devanagari au alfabeti ya Kihindi
  • Alfabeti ya Kiethiopia
Alfabeti  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alfabeti kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

AlamaKiswahiliLughaSauti

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Historia ya ZanzibarMeli za mizigoChemsha BongoHussein Ali MwinyiChuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA)MuhimbiliMajeshi ya Ulinzi ya KenyaOmmy DimpozMaudhui katika kazi ya kifasihiDar es SalaamBagamoyo (mji)Mkoa wa RukwaUmoja wa AfrikaMburahatiWilaya ya ArumeruRushwaLatitudoSaida KaroliKiwakilishi nafsiMichezoKataMapenziKitomeoTawahudiUturukiSimbaSayansiJohn MagufuliUwanja wa Taifa (Tanzania)Ufugaji wa kukuBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiSimba S.C.Namba za simu TanzaniaUchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2020Orodha ya maziwa ya TanzaniaDhahabuIpagalaUhuru wa TanganyikaUbongoSarufiWema SepetuWaziri Mkuu wa TanzaniaBahashaVivumishi vya ambaMvuaMaliasiliShairiVirusi vya CoronaAfrika KusiniMmeng'enyoUundaji wa manenoIsimuHistoria ya Kanisa KatolikiMahakama ya TanzaniaViwanja vya Afrika (Kwa Ukubwa)MwakaBendera ya TanzaniaNduniAlomofuHistoria ya KenyaVivumishi vya pekeeMapenzi ya jinsia mojaMajira ya baridiKilimoFasihiMikoa ya TanzaniaHistoria ya AfrikaKata za Mkoa wa MorogoroNimoniaJava (lugha ya programu)Mapambano ya uhuru TanganyikaSadaka🡆 More