Kibulgaria

Kibulgaria (kwa Kibulgaria: български език, bălgarski ezik ) ni moja kati ya Lugha za Kihindi-Kiulaya kinachozungumzwa zaidi katika nchi ya Bulgaria.

Kibulgaria ni moja katika Muungano wa Lugha za Balkan, ambao unajumlisha Kigiriki, Kimasedonia, Kiromania, Kialbania na Kitorlakia ambacho kina lafudhi ya lugha ya Kiserbia. Kibulgaria kinafanana kabisa na Kimasedonia na Kiserbia, ambavyo vyote vina asili moja ya Slavoni - Kibulgaria.

Wanaoongea Kibulgaria ni watu milioni 9 hivi.

Alfabeti yake ni kama ifuatavyo:

А а
[a]
Б б
[b]
В в
[v]
Г г
[g]
Д д
[d]
Е е
[ɛ]
Ж ж
[ʒ]
З з
[z]
И и
[i]
Й й
[j]
К к
[k]
Л л
[l]
М м
[m]
Н н
[n]
О о
[ɔ]
П п
[p]
Р р
[r]
С с
[s]
Т т
[t]
У у
[u]
Ф ф
[f]
Х х
[x]
Ц ц
[ʦ]
Ч ч
[ʧ]
Ш ш
[ʃ]
Щ щ
[ʃt]
Ъ ъ
[ɤ̞], [ə]
Ь ь
[◌ʲ]
Ю ю
[ju]
Я я
[ja]

Viungo vya nje

Jifunze Kibulgaria

Taarifa za kiisimu

Kamusi

    Nyinginezo

Tags:

Kibulgaria Viungo vya njeKibulgariaBulgariaLugha za Kihindi-Kiulaya

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

KitenziRushwaAfrikaMapinduzi ya ZanzibarHaitiMange KimambiHistoria ya MsumbijiViwakilishi vya kumilikiWallah bin WallahZuchuDhima ya fasihi katika maishaFred MsemwaDar es SalaamLahajaTanganyika (maana)PonografiaRitifaaShahada ya AwaliUkoloniAfyaNguruwePumuMkoa wa RuvumaUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiKisiwaMungu ibariki AfrikaHarmonizeVivumishiChumba cha Mtoano (2010)Jamhuri ya Watu wa ChinaKilimanjaro (volkeno)Makabila ya IsraeliHoma ya mafuaMamaMselaNyangumiUrenoKonsonantiTreniUzalendoAmaniMohamed HusseinSongea (mji)MkwawaYesuMkoa wa SingidaMkoa wa NjombeHaki za binadamuHeshimaMjusi-kafiriShetaniLongitudoUmoja wa AfrikaKiimboShengElimuKuku Mashuhuri TanzaniaUhindiSitiariKipindupinduHussein Ali MwinyiTafsidaKichochoWitoMlongeChumaRadiBawasiriZama za MaweBusaraSaratani ya mlango wa kizaziWizara za Serikali ya TanzaniaShinikizo la juu la damuMoïse KatumbiKidoleFran Bentley🡆 More