Bahari Nyeusi

Bahari Nyeusi ni bahari ya pembeni ya Mediteranea inayozungukwa na nchi kavu pande zote iliyoko kati ya Ulaya ya Mashariki na Asia ya Magharibi.

Imeunganishwa na Bahari ya Mediteranea kwa njia ya Bahari ya Marmara pamoja na milango ya bahari ya Bosporus na Dardaneli. Ina eneo la takriban 424,000 km² na kina hadi 2,244 m.

Bahari Nyeusi
Ramani ya Bahari Nyeusi
Bahari Nyeusi
Bahari Nyeusi inavyoonekana kutoka angani (NASA)

Nchi zinazopakana ni Uturuki, Bulgaria, Romania, Ukraine, Urusi na Georgia. Rasi ya Krim ni sehemu ya kujitawala ya Ukraine.

Miji muhimu mwambaoni ni: Istanbul, Burgas, Varna, Constanţa, Yalta, Odessa, Sevastopol, Kerch, Novorossiysk, Sochi, Sukhumi, Poti, Batumi, Trabzon, Samsun na Zonguldak.

Jina

Katika lugha zote za kisasa bahari inaitwa "bahari nyeusi": Kigiriki Μαύρη θάλασσα, Kibulgaria cherno more (Черно море), Kigeorgia shavi zghva (შავი ზღვა), Kiromania Marea Neagră, Kirusi chyornoye more (Чёрное море), Kituruki Karadeniz, Kiukraine chorne more (Чорне море). Jina hili limepatikana kwa hakika tangu karne ya 13 lakini asili yake haijulikani.

Wagiriki na Waroma wa Kale waliita Euxeinos Pontos (Εὔξεινος Πόντος) au "Bahari ya ukarimu".

Bahari Nyeusi  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bahari Nyeusi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Asia ya MagharibiBahari ya MarmaraBahari ya pembeniBosporusDardaneliMediteraneaMlango wa bahariUlaya ya Mashariki

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MivighaMatumizi ya LughaManchester United F.C.Ngono zembeFacebookViwakilishi vya sifaAngahewaMusaMfumo wa mzunguko wa damuHistoria ya BurundiNomino za pekeeMawasilianoVitenzi vishirikishi vikamilifuMickey MouseOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaJinsiaOrodha ya nchi kufuatana na wakaziMkoa wa RukwaKiambishiPichaKamusi ya Kiswahili sanifuMeli za mizigoSaida KaroliTetemeko la ardhiMahakama ya TanzaniaKilimanjaro (volkeno)Uvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiUkristoKarafuuMlongeKinyereziZama za ChumaOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaHistoriaWanyaturuTabiaAnwaniVivumishi vya -a unganifuViungo vinavyosafisha mwiliHistoria ya AfrikaIlluminatiHaki za binadamuNomino za dhahaniaMalariaMuunganoFalme za KiarabuFutiRayvannyAli Hassan MwinyiOrodha ya miji ya TanzaniaJulius NyerereWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiShinikizo la juu la damuMohammed Gulam DewjiKaaKen WaliboraAdhuhuriIndonesiaWagogoMahindiMimba kuharibikaBibi Titi MohammedMeridianiKinjikitile NgwaleRose MhandoBikiraMaliasiliMarekani🡆 More