Bahari Ya Aegean

39°N 25°E / 39°N 25°E / 39; 25

Bahari Ya Aegean
Bahari ya Aegean.

Bahari ya Aegean (pia: Aegeis; tamka a-e-ge-is) ni moja kati ya sehemu za Bahari ya Mediteranea. Ipo kati ya Ugiriki na Anatolia (Uturuki).

Kupitia mlangobahari wa Dardaneli imeungana na Bahari ya Marmara, Bosporus na Bahari Nyeusi.

Jina

Jina la bahari hii kwa Kigiriki wanaliita Αἰγαῖον Πέλαγος (Aigaion Pelagos), Kigiriki cha kisasa: Αιγαίο Πέλαγος (Aigaio Pelagos). Kwa jina la Kituruki ni Ege Denizi.

Watu wengi wa kale walikuwa wakifikiria tofauti kuhusu jina hili, kwa nini wameiita Aegean.

Labda lilitolewa kufuata mji wa Aegae, au Aegea, ambaye ni malkia wa Amazoni aliyekufa katika bahari hiyo.

Labda lilitolewa kufuata Aegeus, baba wa Theseus shujaa wa Ugiriki ya Kale. Hadithi za kale zinasema kwamba Aegeus alijiua pale alipofikiria kuwa mtoto wake wa kiume amekufa katika bahari hiyo.

Kuna baadhi ya watu wanasema kwamba jina hili linatoka chimbuko la lugha ndogondogo (neno) αἶγες (aiges) au "mawimbi" .

Bahari Ya Aegean  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bahari ya Aegean kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Hali ya hewaMichezo ya watotoMbooJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaSkautiOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAzimio la ArushaTungoIntanetiLongitudoUislamu nchini São Tomé na PríncipeOrodha ya mapapaViwanja vya Afrika (Kwa Ukubwa)Historia ya WapareBusaraMwakaIsraeli ya KaleMagonjwa ya machoAli KibaDully SykesUislamuHoma ya matumboVivumishi vya kuoneshaMfumo wa upumuajiLatitudoFalsafaYouTubeMafumbo (semi)Mkoa wa DodomaVivumishi vya urejeshiMuungano wa Madola ya AfrikaVielezi vya idadiShinaNikki wa PiliUtafitiMalipoFasihiWallah bin WallahMkoa wa IringaAgano la KaleTetekuwangaJeshiAlfabetiMbuga wa safariWakingaMizimuViwakilishi vya kumilikiMnyoo-matumbo MkubwaUkoloniMwanzoMwenge wa UhuruKisiwaMkoa wa KageraVielezi vya mahaliInstagramSinagogiHadhiraPijini na krioliMkoa wa KataviMziziOrodha ya Marais wa MarekaniUandishi wa inshaSilabiSautiYombo VitukaShikamooBaraMaigizoKipandausoKinjikitile NgwaleBarua pepeVivumishi vya -a unganifuMaajabu ya duniaShukuru KawambwaChumba cha Mtoano (2010)WanyaturuTarakilishi🡆 More