Anatolia

Anatolia (Kituruki: Anadolu) ni rasi kubwa katika Asia ya Magharibi kati ya Bahari ya Mediteranea na Bahari Nyeusi.

Eneo lake ni sehemu kubwa ya Uturuki upande wa Asia.

Anatolia
Ramani ya Uturuki - Anatolia ni nchi kati ya bahari

Jina la Kale ni "Asia Minor" (kilat.) au " Asia Ndogo".

Katika historia mataifa mengi yaliishi Anatolia au kuingia humo na kujenga madola yao kama vile Wahitti, Wagiriki, Wajemi, Waarmenia, Waroma, Wagothi, Wabizanti na Waturuki.

Tags:

AsiaAsia ya MagharibiBahari NyeusiBahari ya MediteraneaKiturukiRasiUturuki

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

C++Israeli ya KaleKifaruSaidi NtibazonkizaWabunge wa Tanzania 2020Homa ya matumboJumuiya ya MadolaLongitudoVitendawiliSaidi Salim BakhresaMethaliOrodha ya Marais wa TanzaniaVitenzi vishiriki vipungufuCleopa David MsuyaUsawa (hisabati)PumuMwenge wa UhuruMungu ibariki AfrikaHoma ya mafuaMalariaKiambishiMfumo wa JuaAndalio la somoMkoa wa ShinyangaJoyce Lazaro NdalichakoMbuniBibliaUzalendoMichezoAli Hassan MwinyiChristopher MtikilaMkunduMkoa wa SimiyuHekaya za AbunuwasiBawasiriMuhimbiliWaluguruHistoria ya WapareMasharikiUchaguziMajeshi ya Ulinzi ya KenyaTetekuwangaMusaSumakuAfrika KusiniUkabailaMwanamkeMaumivu ya kiunoNdoaMsamiatiJumuiya ya Afrika MasharikiYouTubeBruneiMazingiraIntanetiBungeMadawa ya kulevyaViwakilishi vya pekeeNguruwe-kayaKaswendeUgonjwa wa kuharaOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaUkooKiambishi awaliMjombaUfugaji wa kukuStashahadaUjimaNduniTungoJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaWahaNgeliUgandaMkoa wa Tanga🡆 More