Samsun ni jina la mji uliopo kaskazini mwa nchi ya Uturuki.
Mji upo katika pwani ya Bahari Nyeusi, ukiwa na idadi ya wakazi takriban 725,111 kama jinsi ilivyohesabiwa katika mwaka wa 2007. Huu ni mji mkuu wa Mkoa wa Samsun na ni bandari muhimu kabisa mjini hapa.
Mji huu wa Samsun ulianzishwa na wakoloni kama Amisos (tahajia zingine ni Amisus, Eis Amison - maana ya amisos imechukua jina la Samsunta au Samsus (Eis Amison - Samson - Samsounta).
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Samsun, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.